Hahahahahahaaaa!
For real this is a serous case.
Niliipata hii kwa mtu X kuwa aliamua kuachana na boyfriend wake kwani aliona anamtesa tu,kiaje? ,eti anakupigia simu uende ghetoni kwake,ukienda unakuta ana midadi ya juu,anaparamia tu bila hata romance na dk 2 kashalipua halafu hoi na ndiyo kwakheri.
Nadhani hitaji kubwa sana la mwanamke ni kuridhishwa kwenye hii huduma.
Nashauri wanaumme tusiwe wavivu wakutafuta maarifa ili uboreshe kazi yako hapo utapendwa mpaka basi hata kama ungekuwa jambazi.COZ,kuna dada mmoja ana mme wake,anajua mme wake ni malaya,lakini anadai kuwa hata iweje hawezi kumuacha huyo jamaa maana kwenye uwanja ni kama MSN(Messi,Suarez,Neymar)
au AK47 na siyo gobole.