[emoji23][emoji23][emoji23] Haya kamsake Mjomba. Teh teh teh.
Nmecheka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] lol.
Teh. [emoji85][emoji85] mdogo wangu eti Kungwi. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haya nshakuelekeza njia nenda kamsake naja. [emoji41][emoji41][emoji41]
Kabisaaaa. Ukigeuzwa wanigusa hasaaaa.
Ulizowee tu hilo kufuli mtani maana funguo yake ilishapotea. [emoji23][emoji23][emoji23]
Haya naja nikuongezeee. 😂😂😂😂nimemsaka kule mpk nimechok please dada niengezee majesh[emoji119][emoji119]
Humpati Mjomba Nchumali. Teh teh. 😂😂😂😂😂😂nimechoka dada simpati
Hahahaha, mtani mie nasingiziwa tuHahaaa. Na kweli leo haukuhusu Mtani. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila kwa siku ile ulikuwa unakuhusu kabisaaa. [emoji23]
Humpati Mjomba Nchumali. Teh teh. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naja twende wote basi mguu kwa mguu.
Ewaaaaaaaaaaa. Mzima lakini Mtani?Hahahaha, mtani bana,usijari ,uzuri naogopa kugonga milango ya watu,kwahy kulizoea hilo kufuli kwako sio shida
😂😂😂😂Hahahaha, mtani mie nasingiziwa tu
Ewaaaaaaaaaaa. Mzima lakini Mtani?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sawa Dada yangu ngoja niwe mvumilivu tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hujatengwa mdogo wetu
Ebu kuweni fair wafukua makaburi, fukueni ya wote wawili.