Quinine Mwitu
JF-Expert Member
- Oct 19, 2014
- 5,529
- 6,095
Mi sijafunga iko wazi pita Hadi ndani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa wewe wenzio wanatafutwa kwenye pm zao wewe ndiyo unatafuta wanaume???Eti utakuta mwanaume mzima, na akili zake timamu na kwa makusudi kabisa anafunga Pm yake.
Hivi naomba kuuliza, wewe mwanaume unafunga Pm ili iweje?
Unaogopa kutongozwa Pm au unaogopa kuombwa pesa huko Pm.
Hongera kwa wanaume woote wasiofunga Pm na Details zao.
Nyie mliobaki, huo ni Umama mnaoleta.
Yaani nikiona dume zima linafunga Pm huwa najiuliza mara mbilimbili, ni mzima kweli au kuna makucha anaficha!
Unaanzaje kufunga Pm na unamfungia nani hiyo Pm?
Pesa huna tuseme tutakuomba,
Sura huna,
Mvuto huna,
Pozi huna,
Kazi huna,
Maisha yako hayaeleweki....unafunga Pm ya nini?
Fungua upate madili.
Mtakosa vingi kwa umama wenu.
Pm acheni wafunge wadada, nyie wanaume ni kupambana hukohuko.
Wanaume woote mnaofunga Pm, mjue nimewadharau sana.
Na siwapendi hata.
Eti dume zima linaongelea kuhusu ignore list jukwaani.
Anaomba afundishwe jinsi ya kutumia kitufe cha ignore list....huoni aibu wewe!!! vingine jifunze mwenyewe ukiwa umejifunika na shuka kitandani.
Unataka kumuweka nani huko, au una account yako ya M-pesa huko ignoreni?
Mwanaume wa kweli hamuweki mtu Ignore list..bali anapambana nae hoja kwa hoja, jiwe kwa jiwe, chaka kwa chaka na pori kwa pori
Mwanaume wa kweli hafungi Pm hata kwa sekunde moja.
Ujumbe wangu ndo huo.
Povu lenu nipeni nikafulie mashuka nikiamka asubuhi.
View attachment 882875
Mkuu mbona umejitenga? Au wewe hauna moyo [emoji23][emoji23]ila wanaume wana moyo sana.. imagine mleta mada ni mkeo unaishi naye ndani yaani kufa na kuzikana,.. mapungufu yake yote na shida zake zote ni za kwake..
ukisikia mwanaume kaikimbia familia msimlaumu
haahah nilihama kaka angu hivi karibuni nitaregea@Rijali jandonihahahaaaa salamu ni muda sana nikija naona hamna mtu nikasema labda umehamaa
sawa tupo ila sasa hivi huku tunakuwaga wapenzi watazamajihaahah nilihama kaka angu hivi karibuni nitaregea@Rijali jandoni
nitakutafuta ukhutyhaahah nilihama kaka angu hivi karibuni nitaregea@Rijali jandoni
Eti utakuta mwanaume mzima, na akili zake timamu na kwa makusudi kabisa anafunga Pm yake.
Hivi naomba kuuliza, wewe mwanaume unafunga Pm ili iweje?
Unaogopa kutongozwa Pm au unaogopa kuombwa pesa huko Pm.
Hongera kwa wanaume woote wasiofunga Pm na Details zao.
Nyie mliobaki, huo ni Umama mnaoleta.
Yaani nikiona dume zima linafunga Pm huwa najiuliza mara mbilimbili, ni mzima kweli au kuna makucha anaficha!
Unaanzaje kufunga Pm na unamfungia nani hiyo Pm?
Pesa huna tuseme tutakuomba,
Sura huna,
Mvuto huna,
Pozi huna,
Kazi huna,
Maisha yako hayaeleweki....unafunga Pm ya nini?
Fungua upate madili.
Mtakosa vingi kwa umama wenu.
Pm acheni wafunge wadada, nyie wanaume ni kupambana hukohuko.
Wanaume woote mnaofunga Pm, mjue nimewadharau sana.
Na siwapendi hata.
Eti dume zima linaongelea kuhusu ignore list jukwaani.
Anaomba afundishwe jinsi ya kutumia kitufe cha ignore list....huoni aibu wewe!!! vingine jifunze mwenyewe ukiwa umejifunika na shuka kitandani.
Unataka kumuweka nani huko, au una account yako ya M-pesa huko ignoreni?
Mwanaume wa kweli hamuweki mtu Ignore list..bali anapambana nae hoja kwa hoja, jiwe kwa jiwe, chaka kwa chaka na pori kwa pori
Mwanaume wa kweli hafungi Pm hata kwa sekunde moja.
Ujumbe wangu ndo huo.
Povu lenu nipeni nikafulie mashuka nikiamka asubuhi.
View attachment 882875
sawa tupo ila sasa hivi huku tunakuwaga wapenzi watazamaji
Ni weweeeee mdogo wangu. 😳sawa
Ni weweeeee. [emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
Mmekumiss huku ujue. [emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]
Nnavyojichetua kama sio yule aliyekuletea umbea [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ni weweeeee mdogo wangu. [emoji15]
Mmekumiss huku jf ujue. [emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]
Nnavyojichetua kama sio yule nliyekuletea umbea [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Usijali mdogo wangu. Hivi na wewe umefunga PM eee? Au hapa wanasemewa Me? 😜😜😜😜hahahha siku hizi nina utulivu ujue napatikan san huku nipo dada ufanye uje basi
Hahahaaaa. Tembea tembea utamuona bwana ila subiri naja. 😂😂😂😂mtu mwenyewe namtafuta hivyoo simuoni ajabu usinione nipo huk saiz nakamilisa zoezi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]