Wanaume mnaofunga PM na Details zenu, mko sawasawa kweli?

Wanaume mnaofunga PM na Details zenu, mko sawasawa kweli?

Chambaaaaa Kama beberu DA Jane.
Sema nasikia kuna member wawili ni mahandsome (kutokana na comments za wadau) sasa usumbufu ukazidi kwa kutongozwa ikabidi wafunge pm (Mimi naomba wanifungulie nihakikishe).
Tayari nimefungua njoo uhakikishe vizuri
 
Mods naomba muimarishe ulinzi wa pm yangu ...

Hawa nyumbu sitaki hata ... Koment zangu wazione
 
Kwa kuchangia kwa wadada pia haswa wa jamii yetu msiwakomoe wapendwa wenu kwakua kila siku mko katika MP zenu hata mungu anachukia.
 
Back
Top Bottom