Mandingo_judo
Member
- Apr 10, 2018
- 12
- 17
Haya nayo yamo!!!!!!🤭🤭🤭🤭
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na hapa ndio ugomvi wetu unapoanza! Mi Boda simpi!Jamani slim usinidanganye basi kama kipindi kile nimtume hata mtu wa boda afate
Mara 1000 unipe address nikaziache wapi, afu wee uzipitie! Lakini BODA, No!Jamani slim usinidanganye basi kama kipindi kile nimtume hata mtu wa boda afate
Na hapa ndio ugomvi wetu unapoanza! Mi Boda simpi!
Mara 1000 unipe address nikaziache wapi, afu wee uzipitie! Lakini BODA, No!
Mbona unacheka sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Haya
Nambie nikaziache wapi, afu uone kama kesho hautapokea MZIGO!Slim usinifanyie hivyo niletee basi
Umeanza UTANI? Mi sipendi ujue!Basi sawa hakuna shida sema kingine
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Usijali wakunyumba si unajua tena kizuri kula na nduguyoUkijua ID za wanaotoa hela unitag wakunyumba nikasalimie pm zao
Hahahahahaaa. Wewe huna akili kabisa. Kwahiyo beki hazikabi kabisa?
Wee nambie nikaziache duka la Mangi ama la Mpemba, hata wa mt wa pili na kwako.... mi ntapeleka tu.... naumia mtima kuona mambo yanaenda hv!Slim usinifanyie hivyo niletee basi
Nimecheka hyo ya kupata udhoefu jmn.Mbona unacheka sasa
HahahahaahaBeki zote chenga! Beki ya kushoto imekufa, ya kulia pumzi imekata! Beki za kati ni maboko kwa kwenda mbele!
Nimecheka hyo ya kupata udhoefu jmn.
Hv mwanaume unasumbuliwaje kwa mfano
Ndiwoo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Usijali wakunyumba si unajua tena kizuri kula na nduguyo
Yani mf inatokea nakufuma unadance "Kwangwaruu" ama nikukute unacheza "iokote" aseeee! Lazima UNIMALIZE!Hahahahaaha
Nambie nikaziache wapi, afu uone kama kesho hautapokea MZIGO!
Ni kesho kweli ebu njo kwa waziri mkuuUmeanza UTANI? Mi sipendi ujue!
Yani mf inatokea nakufuma unadance "Kwangwaruu" ama nikukute unacheza "iokote" aseeee! Lazima UNIMALIZE!
Wee nambie nikaziache duka la Mangi ama la Mpemba, hata wa mt wa pili na kwako.... mi ntapeleka tu.... naumia mtima kuona mambo yanaenda hv!