Wanaume mnaofunga PM na Details zenu, mko sawasawa kweli?

Wanaume mnaofunga PM na Details zenu, mko sawasawa kweli?

Hadi umeenda huko pm kwake na ukakuta ameifunga basi ujue kwamba wewe sio wa kwanza kwenda huko, inawezekana mpo wengi mnamsumbua alafu yy labda anamke wake hataki usumbufu.
 
Eti utakuta mwanaume mzima, na akili zake timamu na kwa makusudi kabisa anafunga Pm yake.
Hivi naomba kuuliza, wewe mwanaume unafunga Pm ili iweje?
Unaogopa kutongozwa Pm au unaogopa kuombwa pesa huko Pm.

Hongera kwa wanaume woote wasiofunga Pm na Details zao.
Nyie mliobaki, huo ni Umama mnaoleta.

Yaani nikiona dume zima linafunga Pm huwa najiuliza mara mbilimbili, ni mzima kweli au kuna makucha anaficha!
Unaanzaje kufunga Pm na unamfungia nani hiyo Pm?
Pesa huna tuseme tutakuomba,
Sura huna,
Mvuto huna,
Pozi huna,
Kazi huna,
Maisha yako hayaeleweki.
...unafunga Pm ya nini?
Fungua upate madili.
Mtakosa vingi kwa umama wenu.

Pm acheni wafunge wadada, nyie wanaume ni kupambana hukohuko.
Wanaume woote mnaofunga Pm, mjue nimewadharau sana.
Na siwapendi hata.

Eti dume zima linaongelea kuhusu ignore list jukwaani.
Anaomba afundishwe jinsi ya kutumia kitufe cha ignore list....huoni aibu wewe!!! vingine jifunze mwenyewe ukiwa umejifunika na shuka kitandani.

Unataka kumuweka nani huko, au una account yako ya M-pesa huko ignoreni?
Mwanaume wa kweli hamuweki mtu Ignore list..bali anapambana nae hoja kwa hoja, jiwe kwa jiwe, chaka kwa chaka na pori kwa pori
Mwanaume wa kweli hafungi Pm hata kwa sekunde moja.

Ujumbe wangu ndo huo.
Povu lenu nipeni nikafulie mashuka nikiamka asubuhi.
View attachment 882875
Sasa wewe wenzio wanatafutwa kwenye pm zao wewe ndiyo unatafuta wanaume???

Kweli cha jiuza na kibaya chajitembeza aisei..!
 
Kwani vipi ulitaka kuomba hela
naijatwittersavages-20181113-0001.jpeg
 
ila wanaume wana moyo sana.. imagine mleta mada ni mkeo unaishi naye ndani yaani kufa na kuzikana,.. mapungufu yake yote na shida zake zote ni za kwake..

ukisikia mwanaume kaikimbia familia msimlaumu
Mkuu mbona umejitenga? Au wewe hauna moyo [emoji23][emoji23]
 
Makonda kaza kamba watanyooka tu, naona stress zimehamia huku.
 
Eti utakuta mwanaume mzima, na akili zake timamu na kwa makusudi kabisa anafunga Pm yake.
Hivi naomba kuuliza, wewe mwanaume unafunga Pm ili iweje?
Unaogopa kutongozwa Pm au unaogopa kuombwa pesa huko Pm.

Hongera kwa wanaume woote wasiofunga Pm na Details zao.
Nyie mliobaki, huo ni Umama mnaoleta.

Yaani nikiona dume zima linafunga Pm huwa najiuliza mara mbilimbili, ni mzima kweli au kuna makucha anaficha!
Unaanzaje kufunga Pm na unamfungia nani hiyo Pm?
Pesa huna tuseme tutakuomba,
Sura huna,
Mvuto huna,
Pozi huna,
Kazi huna,
Maisha yako hayaeleweki.
...unafunga Pm ya nini?
Fungua upate madili.
Mtakosa vingi kwa umama wenu.

Pm acheni wafunge wadada, nyie wanaume ni kupambana hukohuko.
Wanaume woote mnaofunga Pm, mjue nimewadharau sana.
Na siwapendi hata.

Eti dume zima linaongelea kuhusu ignore list jukwaani.
Anaomba afundishwe jinsi ya kutumia kitufe cha ignore list....huoni aibu wewe!!! vingine jifunze mwenyewe ukiwa umejifunika na shuka kitandani.

Unataka kumuweka nani huko, au una account yako ya M-pesa huko ignoreni?
Mwanaume wa kweli hamuweki mtu Ignore list..bali anapambana nae hoja kwa hoja, jiwe kwa jiwe, chaka kwa chaka na pori kwa pori
Mwanaume wa kweli hafungi Pm hata kwa sekunde moja.

Ujumbe wangu ndo huo.
Povu lenu nipeni nikafulie mashuka nikiamka asubuhi.
View attachment 882875

MBONA KAMA UMEPANIK NA NAMBA ZA SIMU HATUTOI PIA
KASHTAKI POPOTE
 
We DaJane kweli una akili za nguruwe, halafu hivi umewaza nini kupost mashudu haya mbw* wewe
 
hahahha siku hizi nina utulivu ujue napatikan san huku nipo dada ufanye uje basi
Ni weweeeee. [emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]

Mmekumiss huku ujue. [emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]

Nnavyojichetua kama sio yule aliyekuletea umbea [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
mtu mwenyewe namtafuta hivyoo simuoni ajabu usinione nipo huk saiz nakamilisa zoezi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ni weweeeee mdogo wangu. [emoji15]

Mmekumiss huku jf ujue. [emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]

Nnavyojichetua kama sio yule nliyekuletea umbea [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom