Wanaume mnaofunga PM na Details zenu, mko sawasawa kweli?

Humu Luna I'd laki tano sio watu lakitano, mm tu ninazo I'd 3
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Haha ingine ya kikazi mkuu, siitumii bila sababu, ingine nilivirunda huko nyuma nikala ban kwa arosto nikaja na hii ila now ipo huru naitumiaga sometimes
Kua na id nyingi raha sometimes mm nimezipa vitengo maalu humu Luna hadi ya kutukania watu. Na kufuatia warembo pm
 
Hahaha yaani ukiingia na I'd flani unabehave kama mtu flani, raha sana aisee
Kua na id nyingi raha sometimes mm nimezipa vitengo maalu humu Luna hadi ya kutukania watu. Na kufuatia warembo pm
 
Duh..!

Tafuta wa kukukaza nati vizuri mapema.
 
Mliofunga PM zenu nifundisheni na mimi kuifunga yangu, wasichana kama mtoa mada ni wasumbufu na wananisumbua sana huko.
 
Me sijaona tatizo. Manake akipungui kitu mwanaume atabaki kuwa mwanaume ata iweje. Hayo na maslahi binafsi ya mtu mwenyewe.
 
uko n kuingilia privacy ya mtu kwan wap kwenye izo privacy kumewekewa gender ya kike tu. Mda mwngne kuna mambo wanaume tunahaminishwa ni ujinga mtupu we fata kilichokuleta um ayo mambo ya kuchunguza/kufuatilia watu ndio umama kila mtu ana style yake ya maisha hakuna umuhim wa kufanana kwenye hilo
 
Haya karibu,. Njoo pm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…