Hahaha ,inabidi tuwatest ma mods[emoji23][emoji23]kama mim sijui kama ipo waz au imefungwa
Kwa maisha ya humu ni possible kabisaUsishangae mleta uzi akiwa mwanaume vilevile
imagine dem kashasema ana dudu afu ghafla unaona pm yake inakuambia mambo babe..dadekisasa kwa mada kama hizi mwanaume gani atakufungulia PM yake
ulianza na hii kuwa ww ni bikra
Am a vrgn Girl!! - JamiiForums
gafla ukaja na hii kuwa wewe ni shemale.. yaani una dudu... ila una all secondary female sexual xstics ila tu una dudu
Am looking Real man to be my fiancee...later awe Mume wangu. But am She-Male (serious) - JamiiForums
mtu hueleweki alafu unaforce kwenda PM 😂😂😂
imagine dem kashasema ana dudu afu ghafla unaona pm yake inakuambia mambo babe..dadeki
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tena 7 inchesimagine dem kashasema ana dudu afu ghafla unaona pm yake inakuambia mambo babe..dadeki
ndio maana kakasirika.. ametafuta sana wanaume pm kwa sababu na yeye ni mwanaume kadudu kake kanamsumbua.. watu wameshamstukia wamempiga ban😂😂😂😂 nikufunga PM tu
ndio maana kakasirika.. ametafuta sana wanaume pm kwa sababu na yeye ni mwanaume kadudu kake kanamsumbua.. watu wameshamstukia wamempiga ban
humu Jf ..kuna watu wanastahiki kupimwa mkojo"... nina wasiwasi kabisa kuwa kuna baadhi ya watu hawakupaswa kuwa uraiani zaidi ya milembeDuh!
Walahi hii kali!
HahaaMkuu kwani haujaolewa bado .?
Mida hii si ndo wanandoa wanapiga cha asubuhi kabla ya kuenda Job.
hahaaHumu Luna I'd laki tano sio watu lakitano, mm tu ninazo I'd 3
hahaaaWewe ulikuwa unatafuta nini PM kwa wanaume?
Sisi wengine ni mahandsome hatupendi kujaziwajaziwa message inbox [emoji41]
Wewe unafikiri tunapenda mnavotusumbua na vimesage vyenu kila wikiendi?
hahaawe dada wewe em kunywa supu apo naja kulipa....
af ukome kufatilia maisha ya watu!!
Kwan we yanakuusu nini account yangu
bando langu af we ni nan kunpangia
pumbafu
Mambo babe..njoo pmndio maana kakasirika.. ametafuta sana wanaume pm kwa sababu na yeye ni mwanaume kadudu kake kanamsumbua.. watu wameshamstukia wamempiga ban
Uzi huu umeandikwa na mwanaume au hermaphrodite!Eti utakuta mwanaume mzima, na akili zake timamu na kwa makusudi kabisa anafunga Pm yake.
Hivi naomba kuuliza, wewe mwanaume unafunga Pm ili iweje?
Unaogopa kutongozwa Pm au unaogopa kuombwa pesa huko Pm.
Hongera kwa wanaume woote wasiofunga Pm na Details zao.
Nyie mliobaki, huo ni Umama mnaoleta.
Yaani nikiona dume zima linafunga Pm huwa najiuliza mara mbilimbili, ni mzima kweli au kuna makucha anaficha!
Unaanzaje kufunga Pm na unamfungia nani hiyo Pm?
Pesa huna tuseme tutakuomba,
Sura huna,
Mvuto huna,
Pozi huna,
Kazi huna,
Maisha yako hayaeleweki....unafunga Pm ya nini?
Fungua upate madili.
Mtakosa vingi kwa umama wenu.
Pm acheni wafunge wadada, nyie wanaume ni kupambana hukohuko.
Wanaume woote mnaofunga Pm, mjue nimewadharau sana.
Na siwapendi hata.
Eti dume zima linaongelea kuhusu ignore list jukwaani.
Anaomba afundishwe jinsi ya kutumia kitufe cha ignore list....huoni aibu wewe!!! vingine jifunze mwenyewe ukiwa umejifunika na shuka kitandani.
Unataka kumuweka nani huko, au una account yako ya M-pesa huko ignoreni?
Mwanaume wa kweli hamuweki mtu Ignore list..bali anapambana nae hoja kwa hoja, jiwe kwa jiwe, chaka kwa chaka na pori kwa pori
Mwanaume wa kweli hafungi Pm hata kwa sekunde moja.
Ujumbe wangu ndo huo.
Povu lenu nipeni nikafulie mashuka nikiamka asubuhi.
View attachment 882875
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]Usishangae mleta uzi akiwa mwanaume vilevile