Wanaume mnaofunga PM na Details zenu, mko sawasawa kweli?

Wanaume mnaofunga PM na Details zenu, mko sawasawa kweli?

ila wanaume wana moyo sana.. imagine mleta mada ni mkeo unaishi naye ndani yaani kufa na kuzikana,.. mapungufu yake yote na shida zake zote ni za kwake..

ukisikia mwanaume kaikimbia familia msimlaumu
 
sasa kwa mada kama hizi mwanaume gani atakufungulia PM yake

ulianza na hii kuwa ww ni bikra
Am a vrgn Girl!! - JamiiForums

gafla ukaja na hii kuwa wewe ni shemale.. yaani una dudu... ila una all secondary female sexual xstics ila tu una dudu

Am looking Real man to be my fiancee...later awe Mume wangu. But am She-Male (serious) - JamiiForums

mtu hueleweki alafu unaforce kwenda PM 😂😂😂
imagine dem kashasema ana dudu afu ghafla unaona pm yake inakuambia mambo babe..dadeki
 
Duh!
Walahi hii kali!
humu Jf ..kuna watu wanastahiki kupimwa mkojo"... nina wasiwasi kabisa kuwa kuna baadhi ya watu hawakupaswa kuwa uraiani zaidi ya milembe
 
Wewe ulikuwa unatafuta nini PM kwa wanaume?

Sisi wengine ni mahandsome hatupendi kujaziwajaziwa message inbox [emoji41]
Wewe unafikiri tunapenda mnavotusumbua na vimesage vyenu kila wikiendi?
hahaaa
 
we dada wewe em kunywa supu apo naja kulipa....
af ukome kufatilia maisha ya watu!!
Kwan we yanakuusu nini account yangu
bando langu af we ni nan kunpangia

pumbafu
hahaa
 
Eti utakuta mwanaume mzima, na akili zake timamu na kwa makusudi kabisa anafunga Pm yake.
Hivi naomba kuuliza, wewe mwanaume unafunga Pm ili iweje?
Unaogopa kutongozwa Pm au unaogopa kuombwa pesa huko Pm.

Hongera kwa wanaume woote wasiofunga Pm na Details zao.
Nyie mliobaki, huo ni Umama mnaoleta.

Yaani nikiona dume zima linafunga Pm huwa najiuliza mara mbilimbili, ni mzima kweli au kuna makucha anaficha!
Unaanzaje kufunga Pm na unamfungia nani hiyo Pm?
Pesa huna tuseme tutakuomba,
Sura huna,
Mvuto huna,
Pozi huna,
Kazi huna,
Maisha yako hayaeleweki.
...unafunga Pm ya nini?
Fungua upate madili.
Mtakosa vingi kwa umama wenu.

Pm acheni wafunge wadada, nyie wanaume ni kupambana hukohuko.
Wanaume woote mnaofunga Pm, mjue nimewadharau sana.
Na siwapendi hata.

Eti dume zima linaongelea kuhusu ignore list jukwaani.
Anaomba afundishwe jinsi ya kutumia kitufe cha ignore list....huoni aibu wewe!!! vingine jifunze mwenyewe ukiwa umejifunika na shuka kitandani.

Unataka kumuweka nani huko, au una account yako ya M-pesa huko ignoreni?
Mwanaume wa kweli hamuweki mtu Ignore list..bali anapambana nae hoja kwa hoja, jiwe kwa jiwe, chaka kwa chaka na pori kwa pori
Mwanaume wa kweli hafungi Pm hata kwa sekunde moja.

Ujumbe wangu ndo huo.
Povu lenu nipeni nikafulie mashuka nikiamka asubuhi.
View attachment 882875
Uzi huu umeandikwa na mwanaume au hermaphrodite!
 
Back
Top Bottom