Wanaume mnaofunga PM na Details zenu, mko sawasawa kweli?

Kwa akili za wapuuzi kama mleta mada hata mi nafikiria kufunga PM.

Wanaume tunakazi sana siku hizi. Yani hadi kudangwa tunadangwa kwa lazima!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…