Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Utadhani vituko vya uwanja wa soka MtaniYaani. Tena kama siku hizi vimezidi Mtani. [emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utadhani vituko vya uwanja wa soka MtaniYaani. Tena kama siku hizi vimezidi Mtani. [emoji23][emoji23]
Umeonaeeee. Ila tutafika tu.Utadhani vituko vya uwanja wa soka Mtani
Ndio maana ake,mtani ,mie huwa nafurahi muda wote humuUmeonaeeee. Ila tutafika tu.
Naogopa Matapeli wanguSasa na ww unafunga pm ili iweje
hahahaila wanaume wana moyo sana.. imagine mleta mada ni mkeo unaishi naye ndani yaani kufa na kuzikana,.. mapungufu yake yote na shida zake zote ni za kwake..
ukisikia mwanaume kaikimbia familia msimlaumu
Yaani. Ila kina sie ikifikaga huko huwa tunakulaga tu ubuyu kimya kimya ikibidiiiii ndio tunatoa japo ka like. 😂😂😂😂Ndio maana ake,mtani ,mie huwa nafurahi muda wote humu
Sasa subiri siku vitibuke hutoamini
Binafsi nawakwepa matapeli!Wanaume mnaofunga pm mkuje kuna ujumbe wenu
Hahaha, Mtani bana ,unakula ubuyu kimya kimya na ka like Fulani hivi sioYaani. Ila kina sie ikifikaga huko huwa tunakulaga tu ubuyu kimya kimya ikibidiiiii ndio tunatoa japo ka like. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimekumisipo etiiDuh.
Watakutapeli nini sasaNaogopa Matapeli wangu
Ndiooo. 🙈🙈🙈 nifanyeje sasa Hajar wa watu wakati habari imekuja hadharani lazima niipitie huku namie najifunza zaidi maisha ya jf yanavyokwenda. 😂😂😂Hahaha, Mtani bana ,unakula ubuyu kimya kimya na ka like Fulani hivi sio
We yako iko wazi nije kuomba helaDongo, la alfajiri hili ngoja wanaofunga waamke
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ukifunguliwa twende wote kuhakikiChambaaaaa Kama beberu DA Jane.
Sema nasikia kuna member wawili ni mahandsome (kutokana na comments za wadau) sasa usumbufu ukazidi kwa kutongozwa ikabidi wafunge pm (Mimi naomba wanifungulie nihakikishe).
Hivi ninavovimiliki, nlivopewa na MunguWatakutapeli nini sasa
Nakukumbusha; Kumekucha na makucha yake
Hivi ninavovimiliki, nlivopewa na Mungu