Wanaume mnaofunga PM na Details zenu, mko sawasawa kweli?

Wanaume mnaofunga PM na Details zenu, mko sawasawa kweli?

From general to specific very logic....

~Jamani aliyemfungia mlalamikaji PM amfungulie kuna ujumbe wake, Kosa la mmoja kwa nn wanapewa watu wengine jamanii.....

~Pesa huna, nguvu huna, hata mkwara hauna, then unafunga PM
 
Wakikufungia nawe badili gia angani uangukie pm ya SK2016.
Iko wazi 24/7.
 
I Once said, its better to use Condom instead of Having kid like this!
 
Back
Top Bottom