Mbogo_beichee
JF-Expert Member
- Mar 31, 2021
- 224
- 608
- Thread starter
-
- #161
Naskia kwa kizaz cha sasa mabinti wanadharauliana wenyw kwa wenyw mmoja wao akiwa intact. Sio ufahari tena kama zamanWapo japo ni wachache kweli kweli
Kila mtu afanye sehem yake. Ila tunamzingatia sana mwanaume kwa sababu yeye ndie mtongozaji mkuu (japo kuna muda mwanamke pia hutongoza)Tamaa zao tuu hao watoto wa kike na wao wasikubali na wasigawe mbususu zao Kwa hao Wanaume ambao hawajajipata sasa
Kwa kuwa imeonekana ni kawaida Kwa watoto wa kike kuanza hayo mambo ya ngono wakiwa wangali wadogo.Naskia kwa kizaz cha sasa mabinti wanadharauliana wenyw kwa wenyw mmoja wao akiwa intact. Sio ufahari tena kama zaman
Umeongea vyema sana.Naomba niende kwenye point kabisa. Hii ni kwa wanaume/kaka/vijana kama mimi. Najua life ni ngumu na kwa kipindi hiki mwanaume kutafuta mpaka ukajipata sio kitu cha muda mfupi inachukua muda sana.
Basi hii isipelekee kuwatesa viumbe wa upande wa pili basi.
Utakuta mwanaume anasema ooh. Mimi kuoa mpaka nikijapata sasa kipato changu cha kulea familia hakijitoshelezi, ilo unalosema ni sawa sasa mbona unaendelea kugawa mimba kwa wadada zetu, ko hao watoto wanatakiwa kulelewa na nani aliejipata?
Wewe unasema ukijipata ndio utaoa ili uweze kulisha familia yako, wakati muda huo huo unaendelea kutengeneza familia nyingine (ili ilelewe na nani sasa).
Em kuweni WAUNGWANA BASI. Kama unataka Familia siku ukijipata basi subiri muda huo ndio utengeneze hizo familia, sio kutubuluzia wadada zetu tunaishia kuwa na SINGLE MOTHERS kibao.
Siku hizi kila ukitongoza Dem ana mtoto. Kuoa dem mwenye mtoto inaanza kuwa kawaida sasa hivi.
Demu kuwa na mtoto mmoja imeanza kuwa afadhali sasa hivi kuna madem wana watoto mpaka wa3 baba tofauti.
Hii inachosha jamani. kha.
Ni kweli hapo hawa wanawake zetu nao kjna muda wanaangushanaKwa kuwa imeonekana ni kawaida Kwa watoto wa kike kuanza hayo mambo ya ngono wakiwa wangali wadogo.
Ukiweza kuvivuka hivyo viunzi na kutunza usichana wako, utaonekana mshamba na huendani na wakati
Hapo ndo panakua pagumu.Umeongea vyema sana.
Wanawake wengi ni SINGLES MOTHERS hii itapelekea kuwa na jamii isiyo imara maaana malezi yatakuwa ya upande mmoja.
Hata kuoa SINGLES MOTHERS nayo imekuwa ngumu sana.
Mwanaume kumzalisha mwanamke bila kujipata kiuchumi ni Utaahira.Naomba niende kwenye point kabisa. Hii ni kwa wanaume/kaka/vijana kama mimi. Najua life ni ngumu na kwa kipindi hiki mwanaume kutafuta mpaka ukajipata sio kitu cha muda mfupi inachukua muda sana.
Basi hii isipelekee kuwatesa viumbe wa upande wa pili basi.
Utakuta mwanaume anasema ooh. Mimi kuoa mpaka nikijapata sasa kipato changu cha kulea familia hakijitoshelezi, ilo unalosema ni sawa sasa mbona unaendelea kugawa mimba kwa wadada zetu, ko hao watoto wanatakiwa kulelewa na nani aliejipata?
Wewe unasema ukijipata ndio utaoa ili uweze kulisha familia yako, wakati muda huo huo unaendelea kutengeneza familia nyingine (ili ilelewe na nani sasa).
Em kuweni WAUNGWANA BASI. Kama unataka Familia siku ukijipata basi subiri muda huo ndio utengeneze hizo familia, sio kutubuluzia wadada zetu tunaishia kuwa na SINGLE MOTHERS kibao.
Siku hizi kila ukitongoza Dem ana mtoto. Kuoa dem mwenye mtoto inaanza kuwa kawaida sasa hivi.
Demu kuwa na mtoto mmoja imeanza kuwa afadhali sasa hivi kuna madem wana watoto mpaka wa3 baba tofauti.
Hii inachosha jamani. kha.
Mamb ya wanawake ama?
πππ umeisema kwa msisitizo sana hiyo bossMwanaume kumzalisha mwanamke bila kujipata kiuchumi ni Utaahira.
Pia wanawake ni vema mkawa mnatathmini mara mbilimbili kuhusu kupata mimba kabla hamjampanulia tu mwanaume amwage humohumo mishahawa yake.
Kwa sentensi hiyo, wewe ni miongoni mwa wanaume wasio rijali (hawana uwezo wa kuzalisha) wanaolea watoto wasio wao na hawana uwezo wa kutunza familia (wavivu wa kufanya kazi)Mwanaume rijali asie na akili ndo ataumia kwa kiwango sawa na chako.
Muumbe mwanamke wako ili asikusaliti, ni akili kidogo tu inahitajika kucontrol hisia zako usiumie hovyo hovyo.
Leo hii urijali unaupima kwa maumivu unayopata kwa kusalitiwa??
Kama huiamini DNA ya bongo basi achana na mambo ya kufanya mapenzi, simple tu.
Ukigegeda bila kinga jua outcome ni kua na mtoto, unaletewa unakataa we si unakua chenga, acha migegedo uone kama kuna mwanamke atakuja
Mbona unarukaruka kama maharage yanayoiva kijana.Kwa sentensi hiyo, wewe ni miongoni mwa wanaume wasio rijali (hawana uwezo wa kuzalisha) wanaolea watoto wasio wao na hawana uwezo wa kutunza familia (wavivu wa kufanya kazi)
Kama hauna uwezo wa kumzalisha mwanamke na unalelewa na mwanamke utang'ang'ania upuuzi ulioandika.
Tafuta hela kijana bila hivyo kugongewa, kusalitiwa na kulea watoto wasio wako utaona ni sehemu ya kawaida ya maisha ya yakoπππ
Ndio β
Ndiyo β
Tafuta hela kijana bila hivyo kugongewa, kusalitiwa na kulea watoto wasio wako utaona ni sehemu ya kawaida ya maisha yakoMbona unarukaruka kama maharage yanayoiva kijana.
Nshakwambia urijali wa mwanaume haupimwi kwa kuumia unaposalitiwa.
Ukomavu wa mwanaume unapimwa kwa kuona ni jinsi gani utasolve hilo tatizo sio kulialia hovyo mitandaoni ati umechapiwa.
Naona wewe unanchangyia mada kibao hapo sijui kua na familia, sijui kutafuta pesa dogo vipi, umevurugwa na nini??
Alokwambia ukiwa na hela hugongewi nani??Tafuta hela kijana bila hivyo kugongewa, kusalitiwa na kulea watoto wasio wako utaona ni sehemu ya kawaida ya maisha yako
Ila tukiweka mzaha pembeni, aisee masingle mother ni wengi siku hizi. Yaani kila unapopita unakutana na binti kazaa na mwanaume halafu hawapo pamoja kila mtu kala hamsini zake balaa anabakia nalo mtoto kulelewa kama yatima.Me nadhani suala la kubeba mimba libaki kuwa ni makubaliano ya pande zote mbili.
Haiwezekani u-date na Mwanaume hata hujui mwenendo wake Wala kufahamu Mipango yake eti umbebee mimba, itakuwa ni kujiingiza kwenye matatizo ya Usingo Mama tu
Ndiyo maana zipo njia za Uzazi wa Mpango kwaajili hiyo.
Wanawake watambue kwamba Mwanaume hakai na Mtoto, unaweza kukutana na Mwanaume DSM, kumbe Kigoma alipotoka ana Mke na Watoto
Umesema sahihi Mkuu.Ila tukiweka mzaha pembeni, aisee masingle mother ni wengi siku hizi. Yaani kila unapopita unakutana na binti kazaa na mwanaume halafu hawapo pamoja kila mtu kala hamsini zake balaa anabakia nalo mtoto kulelewa kama yatima.
Ni kweli kabisa kadili siku zinavoenda ndo single mother wanazidi kuongezeka miak ya baadae itakua balaa zaidiUmesema sahihi Mkuu.
Mambo ya kulea watoto ki-Singo father/Mother Kwa sehemu kubwa ndiyo limechangia mmomonyoko wa maadili miongoni mwa Vijana miaka ya hivi karibuni.
Na tutegemee hali kuendelea kuwa mbaya zaidi miaka 20 ijayo
Wanawake wawe makini kwenye kuchagua Baba wa Watoto wao.
Wasipokuwa makini wataendelea kulea watoto Pekeyako (ki-Singo Mother) hadi Yesu atakaporudi tena