Wanaume mnaokula ogoro mna moyo sana

Acha kuzingua jamaa kama point yako ni ugoro si useme ugoro tu basi

Unaanzaje kuponda bangi na mirungi chalii yangu hiyo mipombe ndo unaona ya maana ambayo watu wanalewa wanagombana.

Au madem ambao watakugei mafangas usitukane kaya na vevwe arif
 
hii kitu ni hatari akitema mate yananuka ajabu sasa piga hesabu amekutana na demu akampa denda nini kinatokea
 
Niliwai kuujaribu niliingia mtaro wa maji nakichwa aloo sio mzuri was 12yers old[emoji23][emoji23][emoji23]umenishindaga ugoroo
 
Acha kuzingua jamaa kama point yako ni ugoro si useme ugoro tu basi

Unaanzaje kuponda bangi na mirungi chalii yangu hiyo mipombe ndo unaona ya maana ambayo watu wanalewa wanagombana.

Au madem ambao watakugei mafangas usitukane kaya na vevwe arif
We ngosha lazima utakuwa unagonga ugoro
 
Mnakumbuka kuber? Baada ya serikali kupiga marufuku ndio ugoro ukashika chart. Hiyo ni aina smokeless tobacco au dipping tobacco so ni kitu ile ile kama sigara ila haihusishi kuchoma.
Hivi ni bora ugoro au pombe? Hapo tueleweshane vizuri.
 
Ebu waambie na walamba naniliuuu wabadilike😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…