Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haina shida ni msela hakijaharibika kituJamaa anakufukuzia kinoma
We ngosha lazima utakuwa unagonga ugoroAcha kuzingua jamaa kama point yako ni ugoro si useme ugoro tu basi
Unaanzaje kuponda bangi na mirungi chalii yangu hiyo mipombe ndo unaona ya maana ambayo watu wanalewa wanagombana.
Au madem ambao watakugei mafangas usitukane kaya na vevwe arif
Mkuu hata wewe ni mdau hapo kwenye ugoroNgoja wahusika waje mkuu..lakini mbona kawaida tu
Hapana mkuu ugoro utukane tu utakavyowezaWe ngosha lazima utakuwa unagonga ugoro
Kwa nini mkuu? Inawezekana unachokifikiria ndicho nikifikiriachoDuh! Joseverest umenishinda
kivipiMkuu hata wewe ni mdau hapo kwenye ugoro
HahahahUnakuta kijana mdogo mdomo umeenda upande kwa kula huo ugoro, inasikitisha kwa kweli mkuu