Wanaume mnaokula ogoro mna moyo sana

Wanaume mnaokula ogoro mna moyo sana

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
19,976
Reaction score
32,195
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana


Husika na kichwa cha habar hapo juu


Iv masela mnokula ugoro huwa hamuwaz nje ya box?

Kwanini mwanaume uanze kutafuna ugoro shida nini mazee?

Iv starehe nzima dunian ni ugoro pekee?

Badiliken masela wangu, ugoro siyo bora hata upinge na mitungi na mademu kwa sana lakin siyo ugoro, bange na mirung

Na mna moyo sana masela


LONDON BABY
 
Ujana ni maji ya moto, acha unipite tuuuu sijaona kuna starehe gani kwa kula ugoro
 
Mkuu bange mbona fresh tu haina noma jamaa yangu. Unaikosea heshima sana kuiponda hivyo tena mchana kweupe hadharani mbele za watu kwa nini lakini?

Bange ukigonga unakuwa aireee kiroho safi wala mambo ya ki~babylon kwako hakuna mzee.

Mbona watu wananyonya hadi nnya (0713) kiroho safi tena wakimaliza wanachukua toothpick kutoa zile chembe chembe hujawasema ila bange umeikazia mkuu?

Nimeku~mind kinoma ujue
 
Mi nilizoea kuona wazee ndo wanakula ugoro tena wale vikongwe,sasa hawa vijana daaah [HASHTAG]#NiacheKidogo[/HASHTAG]
 
Back
Top Bottom