Mnataka wavae bikini mnahamasishana nini hapa kwani boxer ni nini?Unaweza kuvaa boxer na suruali yakitambaa kicha ukalamba mchomekeo na mchongongo chini?
Amini itakua vituko kama hutoonekana umejinyea basi utaona umekimbiwa na mke nyumbani.
Over...
ππππππEewwwwUnaweza kuvaa boxer na suruali yakitambaa kicha ukalamba mchomekeo na mchongongo chini?
Amini itakua vituko kama hutoonekana umejinyea basi utaona umekimbiwa na mke nyumbani.
Over...
Alafu nyie hampendi kuangaliwa penye maziiwa huo ni upuuzi kumwangaliaa mwanaume kuhusu mavazi ........Kaka zangu kujeni dada enu nawaita
Unakuta mkaka mzuri sana, kapendeza akiinama labda kuokota kitu unaona boxer ndani na lijikaptula tena lingine kwa ndani kama ya Man u, Yanga au Liverpool.
Mwingine juzi kwenye daladala kasema konda nishushe sehem fulani kusimama kushika juu boxer nyeusi na jezi kaptula ya kijaniπππ.
Mwingine juzi site ya boss wangu, kaambiwa aingie huko juu kufunga nin sijui kupanda kavaa mkaptula wa purple na boxer.
Watu wa namna hii hua wanaficha nin hadi kuvaa vitu viwili viwili na hua hawafukuti joto?
Wanaume wengi wa kanda ya ziwa ndio wako na hii tabia au wanajitunza
ππππ
Sio mnachekeza mleta Mada kakosea kuwasilisha boxer sio pensi kuna boxer nguo ya kuvaa ndani na kuna pensi sijui unanielewa? Sasa mtu anaevaa boxer halafu akavaa pensi halafu akavaa tena jeans au cadet au suruali ya kitambaa huyu akapimwe akiliπ€£
πππππππSio mnachekeza mleta Mada kakosea kuwasilisha boxer sio pensi kuna boxer nguo ya kuvaa ndani na kuna pensi sijui unanielewa? Sasa mtu anaevaa boxer halafu akavaa pensi halafu akavaa tena jeans au cadet au suruali ya kitambaa huyu akapimwe akili
Assume tu , umeinama bahati mbaya njano pyeeeee au kijaniππππππππ
Mim sijasema kitu πππππππewwww
Hauko seriously broBora zionekanane za timu nyingne ππ just imagine umeli exposed la yanga fc , unaonekana mbwiga Kinyama π
Bora zionekanane za timu nyingne ππ just imagine umeli exposed la yanga fc , unaonekana mbwiga Kinyama π