Wanaume mnaovaa nguo za ndani nyingi huwa hamhisi fukuto?

Wanaume mnaovaa nguo za ndani nyingi huwa hamhisi fukuto?

Kaka zangu kujeni dada enu nawaita
Unakuta mkaka mzuri sana, kapendeza akiinama labda kuokota kitu unaona boxer ndani na lijikaptula tena lingine kwa ndani kama ya Man u, Yanga au Liverpool.

Mwingine juzi kwenye daladala kasema konda nishushe sehem fulani kusimama kushika juu boxer nyeusi na jezi kaptula ya kijaniπŸ™†πŸ™†πŸ™†.

Mwingine juzi site ya boss wangu, kaambiwa aingie huko juu kufunga nin sijui kupanda kavaa mkaptula wa purple na boxer.

Watu wa namna hii hua wanaficha nin hadi kuvaa vitu viwili viwili na hua hawafukuti joto?
Wanaume wengi wa kanda ya ziwa ndio wako na hii tabia au wanajitunza
😊😊😊😊
Mi mwenyewe hii hua siielewi ila kwa kuwa umeitaja kanda ya ziwa kule ni spesho kesi linapokuja suala la mavazi. Wana staili yao nyingine unakuta mtu kavaa vuzuri kabisa let say kadet, chini kiatu cha ngozi kimebrashiwa vizuri amechomekea shati ila ndani ya shati ana zile jezi za basketballπŸ˜€πŸ˜€. Unamuangalia unasema ishi inq maana huyu mwamba kakosa vest? Au hili dude alilovaa ndani na hili joto ana manage vp?
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Umenichekesha mno
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Back
Top Bottom