Wanaume mnaowaingilia wanaume wenzenu, na wanawake kinyume cha maumbile arobaini yenu imefika!

mama D

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2010
Posts
19,981
Reaction score
35,581
Watajwe na wakamatwe na kufungwa kifungo cha maisha. Hii ndio itaondoa hii dhahama ya ushoga na ulawiti Tanzania

WATAJWE, WAKAMATWE NA WAFUNGWE JELA

ULAWITI, USAGAJI NA USHOGA HAUKUBALIKI TANZANIA

Asante cocastic
 
Hii nguvu ya kufatilia vitobo vya watu ungeitumia kwenye kupinga ufisadi binafsi yako ungekua maarufu sana kuliko hata Nyerere ila kwa sababu akili zako zinaonesha namna gani una upeo mfupi kama kuku unaamua kupiga mawe angani na unaamini yataumiza mawingu
 
Kwahyo mkuu umeona haitoshi mpaka umeamua kujiita topu au sio?...kwa maana una mabottom wako sio,acha huo ufirauni mkuu!
 
Watajwe na wakamatwe na kufungwa kifungo cha maisha. Hii ndio itaondoa hii dhahama ya ushoga na ulawiti Tanzania

WATAJWE, WAKAMATWE NA WAFUNGWE JELA

ULAWITI, USAGAJI NA USHOGA HAUKUBALIKI TANZANIA
Mama D umeona hili ndilo kosa kubwa kuliko yote Tanzania? Wazi wa fedha za umma wanaosababisha maafa Kwa jamii Kwa kukosa hudumu za muhimu ie life amenities hao kwako sawa.
Mtu si anaingiliwa Kwa hiari yake? Sioni tatizo unless ni kwa rape na hivyo nakubali pendekezo lako
 
Watajwe na wakamatwe na kufungwa kifungo cha maisha. Hii ndio itaondoa hii dhahama ya ushoga na ulawiti Tanzania

WATAJWE, WAKAMATWE NA WAFUNGWE JELA

ULAWITI, USAGAJI NA USHOGA HAUKUBALIKI TANZANIA
Mama D, sijakuelewa bado Arobaini ya wafiraji na wasagaji ni ipo hapo??? Kutajwa tu Ndo Arobaini yao? Aaaah si Kweli Mbona Hao watu wanajulikana vizuri tu na Hakuna chochote kinachofanyika kwao? ..... wafiraji na wafirwaji wanajipost waziwazi tena bila uoga eti haki za binadam zinawalinda [emoji1787][emoji1787][emoji24][emoji24]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…