Ila mtaani ndo tunaambiwa mara mabwawa mara mifereji! Du you creatures!
ile kitu ya like iko wapi ,unastahiki mkuu!!!!hizi dadangu ni stori za vijiweni ndio utasikia haya maneno ya kashfa kwa kinadada, mara nyingi ni vijana wasio na kazi, wasololea wake za watu, ushamsikia mtu mwenye mke anatoka nje kumnadi mimi mke wangu yake kavu? Au mke wangu bwana ni maji matupu?achana na stori za wakosa kazi, jando wameenda hospitali.... Hawana lolote kakua kajikuta kashapigwa kisu na madaktari.
Hizi dadangu ni stori za vijiweni ndio utasikia haya maneno ya kashfa kwa kinadada, mara nyingi ni vijana wasio na kazi, wasololea wake za watu, ushamsikia mtu mwenye mke anatoka nje kumnadi mkewe "mimi mke wangu yake kavu? au mke wangu bwana ni maji matupu?
Achana na stori za wakosa kazi, Jando wameenda Hospitali.... hawana lolote kakua kajikuta kashapigwa kisu na madaktari.

ile kitu ya like iko wapi ,unastahiki mkuu!!!!
Mkeshaji jitahidi tu uelewe hata kwa kudesa au kuangalia kwa jirani lol. . Mwenzio nimeogopa kuweka wazi sana mods wataamishia thread yangu kwa wakubwa ambako mi siingii japo ni mkubwa!