Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkeshaji hiyo avatar yako du!
Bwawa ni kule tunanyweshea mifugo
Kavu tunapanda mtama.
Hivi inakuwaje mtu anaanzisha thread halafu unaacha kuzungumzia hiyo topic unaongelea avatar? Huwezi kuanzisha thread inayohusu avatar?
mkuu unamaanisha wahaya au?labda wale wandugu wa mpakani mwa uganda na tanzania watasema
Nimesikia sikia tu kwamba kuna za bwawa cjui na kavu, nimekuwa nikijiuliza hapo kwenye kavu ikatokea imetota kwa maujanja ulomfanyia mwenzio mwenyewe tayari ni bwawa? Mnapenda ifikie chapachapa au kidogo tu? Mana najua unaweza ukafikia chapachapa kabla hata mtu hajafanya mautundu meeengi kwa jinsi unavomfeel! Mi ikitokea ivo naogopa nazani ndo linakuwa bwawa lakini tena nasikia bwawa ni bwawa tu halifanani na utelezi lol. . Guys how do you like it?