Wanaume mnashauriwa kufanya usafi sana wa maeneo haya ya mwili...

Dakika 20 nasugua meno?, Tanzania tuwe na nidhamu ya muda...

Binadam washaoza, hata wafanye usafi kila baada ya dakika 5...bado wataendelea kunuka km kawaida
We waonekana hata mswaki hupigi maana si kwa msimamo huu
 
kapicha kidogo itapendeza zaidi
 
Mi nshafuga na rasi mwenzenu,
Nikitembea mtaani naziachia kwa mbele...nikirukaruka mademu utasikia oyooooooo rasta mannnn
whwasssagwaaa man.
Then nazikamatilia fresh nazisweka ndani ya konkin.
 
We waonekana hata mswaki hupigi maana si kwa msimamo huu
inapigwa kusafisha kinywa ila sio kwa kmbwembwe km zile. ukila chakula kizuri hata kinywa kinakuwa na hali nzuri tu kabla ya kukisafisha, najitambua naweza nisipige mswaki na nikazungumza nawe kwa muda..na usigundue km sijaswaki😛😛
 
Na baadhi yenu wanawake hampigi mswaki vizuri mnapiga haraka haraka kuwahi kwenye kioo kujipaka makeup mnatupashida wenzenu mnapotubusu harufu kali mpka mizuka inapotea mtu unakua kama unakiwanda cha kusindika ngozi bwana.
 
ni kweli kabisa, week ijayo nitawaambia. hope umesoma note kwenye uzi pale mwisho.
Na baadhi yenu wanawake hampigi mswaki vizuri mnapiga haraka haraka kuwahi kwenye kioo kujipaka makeup mnatupashida wenzenu mnapotubusu harufu kali mpka mizuka inapotea mtu unakua kama unakiwanda cha kusindika ngozi bwana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…