Wanaume mnashauriwa kufanya usafi sana wa maeneo haya ya mwili...

Wanaume mnashauriwa kufanya usafi sana wa maeneo haya ya mwili...

mmerara au mmelala? tulale sasa ila jua kesho baadhi ya office hapa mjini lazima niwatembelee msije sema sikuwaambia.
 
nimekuelewa ila kati ya dk 10 hizo ongeza 5 kama v,zi lipo litoe maana nikilikuta kyupi yangu begani nasepa. na hayo majukumu yote utafanya mkuu huo ndo uanaume mkuu. hope umenielewa😀
Unaondokaje na kyupi begani utaonekana chizi
 
nimekuelewa ila kati ya dk 10 hizo ongeza 5 kama v,zi lipo litoe maana nikilikuta kyupi yangu begani nasepa. na hayo majukumu yote utafanya mkuu huo ndo uanaume mkuu. hope umenielewa😀
nitajaribu,ila niko na kazi nyingi sana my dear, but i will try, pls jaribuni kutuelewa nyinyi dada zetu aki, shuguli mingi
 
Mwanaume akinyoa kipara, taswira ya kule chini inakuwa haivutiii. Yan unakuwa huna tofauti na kivulana cha miaka 12!
 
mwanaume kuwa msafi ni umama mwanaume unatakiwa kunuka hela
 
Back
Top Bottom