free stress id
Senior Member
- Nov 11, 2018
- 127
- 109
- Thread starter
- #61
labda kama sio bf wako mtu umemzoea ushindwe kuona dia?Huko mferejini unapaonaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
labda kama sio bf wako mtu umemzoea ushindwe kuona dia?Huko mferejini unapaonaje?
Mjumbe hauwawi leo nagusa penyeweee.
Sio wote ila 90% hii inawahusu.
Nafanya kazi hii kwa niaba ya kutetea wanawake wanaokereka na vitabia vyenu vya ajabu, wengi wamekuja kwangu wakilalamika nikaona isiwe taabu mpo humu humu wacha leo niwachane live afu nitoe somo ole wako msizingatie ntalala na nyinyi mbele.
Kila mmoja anajua kuwa usafi kwenye mapenzi ni kitu muhimu kuliko hata pesa, ingawa pesa ni moyo mkalia roho.
Baadhi ya wanawake kama kumi hivi, wanalalamika uchafu wenu hasa sehemu kuu sita, wao wanaona aibu kuwambia ila mimi ahaaa ntasema yote leo.
RB inahusu sehemu kuu hizi hapa.
1, kwenye bustani / konkinii
2,Makwapani
3, Kwenye ule mfereji wa makalio.
4, Meno/ kinywa
5, Masikio
6, Kitovu.
Hivi nyie kaka zetu, waume zetu, waume zetu watarajiwa huwa mnanyoa ikulu yenu baada ya muda gani? yaani mkaka umevaa vizuri umependeza, umejikalisha kiti cha mbele unaangalia mpira yanga vs kagera sugar , ama uko offisini unajizungusha kwenye kiti huku chini una vu.zi refu kiasi hicho na wewe unataka demu? kwa nini hamnyoi atleast kila jmosi? hayo manywele mnamtunzia nani?
Ama mnajidanganya eti kwakuwa konkii ndio inaingia ndani hakuna haja ya kunyoa nani kasema? wewe huyo huyo unataka mdada wa watu sijui akunyonye naniliu, nani yuko tiyari kubeba v,zi kwenye meno?
Wanawake tumeumbwa mateso imagine mwanaume kama huyu anaishi mikoa yenye joto kama dar mwezi mzima hajanyoa hivi hii ninii kweli?unamwachia nani kwa mfano?
Ni uvivu kunyoa ama mna vitambi hamuwezi kuinama, ni nini shida jamani? kwa niaba ya wanawake nasema hivi lazima mbadilike sio ombi ni lazima, nunua zile shaver zile za kushika mkononi, sio hivi viwembe vya mia mbili, nyoa v.zi lote kuwe kipara.
Huwa najiuliza hii tabia ya kutonyoa na kufanya usafi wa maana inaanzia wap? mwanaume unaoga dakika 5 really?? hivi kweli mtu uliekamilika utaogaje dk 5 utoke bafuni? hii haiwezekani na haikubaliki binadamu mwenye akili timamu, siku za kazi lazima amalize dk 30 bafuni, na weekend minmum lisaa limoja na kuendelea. panga muda wenu amka mapema jipe lisaa limoja maandalizi.
Kwapani: jamani madukani hata supermarkets kuna shaver nzuri bei rahisi tu 2000 ukitoka mpirani leo embu nenda nayo nyoa kwapa lote lipendeze bana.
Kwenye ule mfereji: nani kasema kunyoa zile nywele za makalioni ni ushoga? embu acheni hizo mwanamke wa kujiamini kama mm siwezi kuta mkaka wa watu kanyoa nywele za kule nikamuwazia mabaya, tangu leo nasema hivi huo ni uchafu kama unazo leo nyoa zote kipara usiende nazo kesho kazini.
Meno: huwezi kupiga mswaki dakika mbili ukanambia kinywa chako ni kisafi no no no no big NO, mwanaume huwezi kuweka dawa kwenye mswaki mara moja ukaswakulia hiyo hiyo kinywa kikatakata, kiustaarabu dawa ya mswaki lazima uweke mara tatu ama nne, na dawa sahihi ya kutumia ni colgate/ sensodyne achana na whitedent dawa za wanafunzi hizo.
kuweni wastaarabu watu wengine tunapenda zetu kiss, hakikisha una mouth wash bafuni kwako, uitumie kila baada ya kupiga mswaki, hasa kabla ya kulala usiku.
Masikio kwa kuwa wengi wenu mnaoga dk mbili mnakimbia kama mnakimbizwa masikion hamgusi, hii tabia ikome leo. kama mnavyopenda kutupiligicha kwenye masikio na sisi tunapenda kuwaswisumula masikioni hasa wakati wa kuomba kitu ambacho tunaona aibu kusema so hiyo sehemu iwe safi bana.
Kitovuni: wengine mna vitovu vilivyobonyea huko kunajificha uchafu ni lazima wakati unasugua maeneo ya tumbo weka kidole sugua vizuri.
NINI CHAKUFANYA??
Let say siku ya jmosi/j2 uko nyumbani fanya zoezi hili, tunaanzia juu mpaka mwisho.
Hapa ndio maandalizi ya kuoga so hapo ulipo kama umeshanyoa sehemu za siri na kwapani kama nilivyokwambia hapo juu twende pamoja.
Sina tatizo na kichwani tuanze na meno .Meno sometimes kabla ya kuswakuwa kwa kutumia mswaki chukua backing soda kidogo changanya na limao, koroga iwe nzito chukua njiti zile sehemu ambapo mswaki haufiki sugua kwa njiti, unachovya kwenye mchanganyiko wa backing soda limao unasugua vizuri kwa njiti, baada ya hapo tafuta uzi pitishia katikati ya meno yote baada ya hapo weka dawa kwenye mswaki sugua meno na ulimi hata kwa dk 20 suuza vizuri kinywa.
Baada ya hapo anza kuoga lazima uwe na dodoki ( napendekeza dodoki zile za groves ziko madukani sh,1000 ziko mbili yaan pair.) na sabuni yako nzuri, nawa uso, sugua vizuri kwenye masikia yote shuka shingoni, sugua, vizuri maana tunapendaga kuwakiss shingoni, inua mkono sugua kwapa kumbuka hapa ushanyoa nywele zote kwapani, nyanyua mkono mwingine sugua vizuri shuka tumboni sugua, pale kitovuni sugua kwa kidole , sugua mgongoni, rudi mbele sasa maeneo ya ikulu,kamata konkii ibinue kwa juu sugua kwa dodoki na sabuni zile naniliu zisugue vizuri, suuza dodoki paka sabuni, sugua makalio na ule mrejeji sugua vizuri, kaa kwenye ndoo kama una kile cha kusugua miguu sugua then mwisho fungua maji ya kutosha ama kama unatumia ndoo oga maji ya kutosha tiyari jifute kwa towel yako safi.
haya toka bafuni njoo chumbani sasa,
Ukimaliza zoezi hilo jipake lotion yako nzuri, wengine hamna hata lotion,yaan mwisho kupaka mafuta/ lotion mlipakwaga na mama zenu mkiwa wadogo. matako yenu yamepauka hakikisha mnayapaka lotion nzuri mnapendeza, perfume isikose hapo dressing table yako, baada ya hapo unaweza kumpigia simu baby wako " baby plz come home"
wanaume mkifanya haya yote hakuna demu atakae kuacha labda kama karogwa. binafsi naweza kumpenda mwanaume kwa usafi wake kwanza mengine baadae.
Mimi niko likizo kwenye haya mambo ila kbla sijapumzika nikikutana na mwanaume anaefanya haya yote nilikuwa namsubiria mlango wa bafuni akitoka tu nakamatia konki master yake pale pale nashuka zangu nyege....zi.
"Mapenzi usafi bana msitukaushe uzazi" loh.
Note: leo ni zamu ya wanaume next week ni zamu ya wanawake nina RB zenu nyingi tu. hatukaki kero usafi ni lazima.
povu njooo........
pipoooo, i love u all.
free stress id.
kama fensi ya umeme 😀😀😀😀Kuna wanaume wana vuzi kama steel wire .linachana chana papuchi ukitoka hapo unafungwa bundeji mwezi.
Vuzi lingine guumu kama fensi ya Umeme mpaka linapiga shot I
Kweli nyoeni vuzi,ili vitu vikutane nyama kwa nyama bna
Hebu ajujibu hili inamaaana huyo mwanaume nae anabongoa mpaka anaonyesha huko kunako basi anakuwa james delicious uyoHuko mferejini unapaonaje?
umenyoa lakini?Wavivu wa kusoma hii maada haituhusu ni ndefu sana.
huna dressing table yenye kioo? au kioo kidogo? sasa si unaweka chini unatandika hata shuka unaanza kunyoa shida ipo wap?Sielew unawaza nini?. Maana nimejikuta nawaza style ya kujinyoa kwenye mfereji dume zima bado majibu sijapata kabsa.
pmoja na usafi mwingineLisaa limoja kuoga?? Wewe hauna akili
soma note ya mwishoMkuu uchafu ni tabia ya mtu awe male or female huwezi povuka kiasi hicho kwa male tu
Kwahyo mkuu unamaliza saa zima kuoga tu hiyo ngumu kumesa. Af kata mav** unaanzaje kunyoa ??? Utaanza kutekenywa na shaver baadaye utapenda ukunwe [emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji15]Wavulana wa mikoani, shutuma zimewekwa dhidi yenu, haya embu jibuni, mtuondolee fedheha.
ntanyoa kwa nguvu hamtaki kufa na nyege zenukwa pamoja tumesema hatunyoi..
Ati nitumie 1 hour kuoga, kwani nini,mimi sio mkulima wa mahindi anayesida shambani huko rukwa, pengine nitumie hio 1 hour nikiosha my S560 sedan merc, mimi mtu wa ofisi, kwani kazi kuoga tu, nina kazi nyingi sana, na nyinyi dada zetu nikikosa kukupeleka holiday, nikikosa kukununulia ile forester subaru unayoipenda kaa nini unaaza nilaumu ati mimi muvivu,mimi dakika 10 zinatosha nimesatoka kwa bathroom, perfume , lotion, hizo nakuunga mkono sikosi haswa ile perfurme ONE MAN SHOW, so nataraji umenielewa.Mjumbe hauwawi leo nagusa penyeweee.
Sio wote ila 90% hii inawahusu.
Nafanya kazi hii kwa niaba ya kutetea wanawake wanaokereka na vitabia vyenu vya ajabu, wengi wamekuja kwangu wakilalamika nikaona isiwe taabu mpo humu humu wacha leo niwachane live afu nitoe somo ole wako msizingatie ntalala na nyinyi mbele.
Kila mmoja anajua kuwa usafi kwenye mapenzi ni kitu muhimu kuliko hata pesa, ingawa pesa ni moyo mkalia roho.
Baadhi ya wanawake kama kumi hivi, wanalalamika uchafu wenu hasa sehemu kuu sita, wao wanaona aibu kuwambia ila mimi ahaaa ntasema yote leo.
RB inahusu sehemu kuu hizi hapa.
1, kwenye bustani / konkinii
2,Makwapani
3, Kwenye ule mfereji wa makalio.
4, Meno/ kinywa
5, Masikio
6, Kitovu.
Hivi nyie kaka zetu, waume zetu, waume zetu watarajiwa huwa mnanyoa ikulu yenu baada ya muda gani? yaani mkaka umevaa vizuri umependeza, umejikalisha kiti cha mbele unaangalia mpira yanga vs kagera sugar , ama uko offisini unajizungusha kwenye kiti huku chini una vu.zi refu kiasi hicho na wewe unataka demu? kwa nini hamnyoi atleast kila jmosi? hayo manywele mnamtunzia nani?
Ama mnajidanganya eti kwakuwa konkii ndio inaingia ndani hakuna haja ya kunyoa nani kasema? wewe huyo huyo unataka mdada wa watu sijui akunyonye naniliu, nani yuko tiyari kubeba v,zi kwenye meno?
Wanawake tumeumbwa mateso imagine mwanaume kama huyu anaishi mikoa yenye joto kama dar mwezi mzima hajanyoa hivi hii ninii kweli?unamwachia nani kwa mfano?
Ni uvivu kunyoa ama mna vitambi hamuwezi kuinama, ni nini shida jamani? kwa niaba ya wanawake nasema hivi lazima mbadilike sio ombi ni lazima, nunua zile shaver zile za kushika mkononi, sio hivi viwembe vya mia mbili, nyoa v.zi lote kuwe kipara.
Huwa najiuliza hii tabia ya kutonyoa na kufanya usafi wa maana inaanzia wap? mwanaume unaoga dakika 5 really?? hivi kweli mtu uliekamilika utaogaje dk 5 utoke bafuni? hii haiwezekani na haikubaliki binadamu mwenye akili timamu, siku za kazi lazima amalize dk 30 bafuni, na weekend minmum lisaa limoja na kuendelea. panga muda wenu amka mapema jipe lisaa limoja maandalizi.
Kwapani: jamani madukani hata supermarkets kuna shaver nzuri bei rahisi tu 2000 ukitoka mpirani leo embu nenda nayo nyoa kwapa lote lipendeze bana.
Kwenye ule mfereji: nani kasema kunyoa zile nywele za makalioni ni ushoga? embu acheni hizo mwanamke wa kujiamini kama mm siwezi kuta mkaka wa watu kanyoa nywele za kule nikamuwazia mabaya, tangu leo nasema hivi huo ni uchafu kama unazo leo nyoa zote kipara usiende nazo kesho kazini.
Meno: huwezi kupiga mswaki dakika mbili ukanambia kinywa chako ni kisafi no no no no big NO, mwanaume huwezi kuweka dawa kwenye mswaki mara moja ukaswakulia hiyo hiyo kinywa kikatakata, kiustaarabu dawa ya mswaki lazima uweke mara tatu ama nne, na dawa sahihi ya kutumia ni colgate/ sensodyne achana na whitedent dawa za wanafunzi hizo.
kuweni wastaarabu watu wengine tunapenda zetu kiss, hakikisha una mouth wash bafuni kwako, uitumie kila baada ya kupiga mswaki, hasa kabla ya kulala usiku.
Masikio kwa kuwa wengi wenu mnaoga dk mbili mnakimbia kama mnakimbizwa masikion hamgusi, hii tabia ikome leo. kama mnavyopenda kutupiligicha kwenye masikio na sisi tunapenda kuwaswisumula masikioni hasa wakati wa kuomba kitu ambacho tunaona aibu kusema so hiyo sehemu iwe safi bana.
Kitovuni: wengine mna vitovu vilivyobonyea huko kunajificha uchafu ni lazima wakati unasugua maeneo ya tumbo weka kidole sugua vizuri.
NINI CHAKUFANYA??
Let say siku ya jmosi/j2 uko nyumbani fanya zoezi hili, tunaanzia juu mpaka mwisho.
Hapa ndio maandalizi ya kuoga so hapo ulipo kama umeshanyoa sehemu za siri na kwapani kama nilivyokwambia hapo juu twende pamoja.
Sina tatizo na kichwani tuanze na meno .Meno sometimes kabla ya kuswakuwa kwa kutumia mswaki chukua backing soda kidogo changanya na limao, koroga iwe nzito chukua njiti zile sehemu ambapo mswaki haufiki sugua kwa njiti, unachovya kwenye mchanganyiko wa backing soda limao unasugua vizuri kwa njiti, baada ya hapo tafuta uzi pitishia katikati ya meno yote baada ya hapo weka dawa kwenye mswaki sugua meno na ulimi hata kwa dk 20 suuza vizuri kinywa.
Baada ya hapo anza kuoga lazima uwe na dodoki ( napendekeza dodoki zile za groves ziko madukani sh,1000 ziko mbili yaan pair.) na sabuni yako nzuri, nawa uso, sugua vizuri kwenye masikia yote shuka shingoni, sugua, vizuri maana tunapendaga kuwakiss shingoni, inua mkono sugua kwapa kumbuka hapa ushanyoa nywele zote kwapani, nyanyua mkono mwingine sugua vizuri shuka tumboni sugua, pale kitovuni sugua kwa kidole , sugua mgongoni, rudi mbele sasa maeneo ya ikulu,kamata konkii ibinue kwa juu sugua kwa dodoki na sabuni zile naniliu zisugue vizuri, suuza dodoki paka sabuni, sugua makalio na ule mrejeji sugua vizuri, kaa kwenye ndoo kama una kile cha kusugua miguu sugua then mwisho fungua maji ya kutosha ama kama unatumia ndoo oga maji ya kutosha tiyari jifute kwa towel yako safi.
haya toka bafuni njoo chumbani sasa,
Ukimaliza zoezi hilo jipake lotion yako nzuri, wengine hamna hata lotion,yaan mwisho kupaka mafuta/ lotion mlipakwaga na mama zenu mkiwa wadogo. matako yenu yamepauka hakikisha mnayapaka lotion nzuri mnapendeza, perfume isikose hapo dressing table yako, baada ya hapo unaweza kumpigia simu baby wako " baby plz come home"
wanaume mkifanya haya yote hakuna demu atakae kuacha labda kama karogwa. binafsi naweza kumpenda mwanaume kwa usafi wake kwanza mengine baadae.
Mimi niko likizo kwenye haya mambo ila kbla sijapumzika nikikutana na mwanaume anaefanya haya yote nilikuwa namsubiria mlango wa bafuni akitoka tu nakamatia konki master yake pale pale nashuka zangu nyege....zi.
"Mapenzi usafi bana msitukaushe uzazi" loh.
Note: leo ni zamu ya wanaume next week ni zamu ya wanawake nina RB zenu nyingi tu. hatukaki kero usafi ni lazima.
povu njooo........
pipoooo, i love u all.
free stress id.
nyoa shwaaa shwaaa kesho hakuna kwenda nalo ofisinNa sinyoi, misitu ndio inayoleta mvua..
Halafu dume zima utaanzaje kujinyoa nywele za tako!? Unajikunja kabisa unapititsha shaver rwaah rwaah.. Pumbavu kabisa..
Af ukute Kuna wengne takle nywele zmejaa Kama kichwa Cha mtoto naye anyoe pia!!!! Huo sio usafi aseee kwanza mm mwanamke hata takle langu simruhusu kabisa ashikeLabda wanaume wa dar ndo watanyoa "makata mavi" ila wa huku mkoani ni mwendo wa msitu wa amazon kama kawa.
mwanaume unaanzaje kunyoa kata mavi huo ni ushogaa alafu mtabanaje wakati nyie ndo mnaongoza kwa muwasho(nyegezi)ntanyoa kwa nguvu hamtaki kufa na nyege zenu
nimekuelewa ila kati ya dk 10 hizo ongeza 5 kama v,zi lipo litoe maana nikilikuta kyupi yangu begani nasepa. na hayo majukumu yote utafanya mkuu huo ndo uanaume mkuu. hope umenielewa😀Ati nitumie 1 hour kuoga, kwani nini,mimi sio mkulima wa mahindi anayesida shambani huko rukwa, pengine nitumie hio 1 hour nikiosha my S560 sedan merc, mimi mtu wa ofisi, kwani kazi kuoga tu, nina kazi nyingi sana, na nyinyi dada zetu nikikosa kukupeleka holiday, nikikosa kukununulia ile forester subaru unayoipenda kaa nini unaaza nilaumu ati mimi muvivu,mimi dakika 10 zinatosha nimesatoka kwa bathroom, perfume , lotion, hizo nakuunga mkono sikosi haswa ile perfurme ONE MAN SHOW, so nataraji umenielewa.
Mda utaojua itakuwa ushaliwa kwahyo nyegez overmtakufa na nyegezi zenu watu kama wewe