Wanaume mnatoa wapi ujasiri wa kushare Mwanamke?

mwanyaluke

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2015
Posts
704
Reaction score
2,435
Hiki kitu nataka niwaulize wanaume wenzangu, inakaaje unafahamu mwanamke flani anatoka na flani na wewe anampangia foleni unapiga hivi huwa hamna kinyaa? hivi hamkumbuki stori za ngoma, mwanao anapiga kesho umekaa naye sehemu moja mara unamuona ana punye, au anakohoa haikuletei mshituko na hofu?

Binafsi sipigi mwanamke wa mtaa mmoja, au ninayefahamu skendo zake mwanamke ninayemfahamu huwa simpendi kabisa, unanza kuwa subject na stori zake, mambo yake yanakufika kiufupi hilo sawa na demu wa ofisini, yaani tuwe ofisi moja halafu nimchakate.
 
Unashangaa watu tunakula mpaka WAJANE na tuko sawa Tu
 
Threesome pia hauwezi?
 
Muhimu ajisafishe,utumie kinga,watu wanamchangia demu,unakuta wako wa5 na wanaona sawa tu,sembuse demu wa jamaa?
 
Mkeo tunapiga kolabo kama kawa. Huoni kinyaa? Au hujui kama wanaume tunapiga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…