Wanaume mnatuangusha

Wanaume mnatuangusha

moyomacho

Senior Member
Joined
Feb 5, 2020
Posts
138
Reaction score
103
Habari jamvini, habari wanaume.

Wasisiwasi kwa Sasa Ni juu ya wanawake kukosa pa kukidhi haja zao kutokana na

1. Wanaume kuwa wachache wanawake kuwa wengi,

mf. penye wanaume 50 pana wanawake 150 hilini tatizo.

Na tatizo lingine kubwa,
Kati ya hao wanaume 50 utakuta 30 wanaupungu wa nguvu za kiume walio hai Ni 20 tu . Hili nalo Ni tatizo.

Na hata mimba Ni chache kwa Sasa, sababu Ni hizohizo.

Wanaume hili Ni janga kubwa Sana mjitahidi kulitatua mkicheza dunia itakosa watu na vilio kwa wanawake vitakuwa vikubwa sana.

Wanaume mpoo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umesahau kuhesabu na mashoga.

Ila kweli mwanaume ni kiumbe kilicho hatarini kupotea.
 
Lifestyle imebadilika, unaweza kutumia akili kidogo tu kuangalia jinsi dunia inavyokwenda, maisha yalivyobadilika na sidhani kama utarusha lawama kwa yoyote. Wanasema mtu anayeona mapungufu kwa wengine huenda anapitia kipindi kigumu chenye stress sana. Yaani wewe ukiongea nae anaishia kulalamika tu, wanaume hivi wanaume vile, huyo anayo shida kisaikolojia.

Iangalie dunia kwa uzuri wake, acha kulaumu ovyo ukidhani wewe upo perfect sana.
 
Habari jamvini, habari wanaume.

Wasisiwasi kwa Sasa Ni juu ya wanawake kukosa pa kukidhi haja zao kutokana na

1. Wanaume kuwa wachache wanawake kuwa wengi,

mf. penye wanaume 50 pana wanawake 150 hilini tatizo.

Na tatizo lingine kubwa,
Kati ya hao wanaume 50 utakuta 30 wanaupungu wa nguvu za kiume walio hai Ni 20 tu . Hili nalo Ni tatizo.

Na hata mimba Ni chache kwa Sasa, sababu Ni hizohizo.

Wanaume hili Ni janga kubwa Sana mjitahidi kulitatua mkicheza dunia itakosa watu na vilio kwa wanawake vitakuwa vikubwa sana.

Wanaume mpoo

Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo takwimu mama, umezi sample wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna vitu vingi vinavyoua saikolojia ya wanaume katika kuathiri uanaume wao;

1. Kutoridhika na maisha kuwa magumu kwao kunawafanya wawe na tension

2. Uvaaji mbaya wa wanawake, wearing style ya wanawake kwa sasa inachangia sana kuua uanaume.
3. Chakula
Wadada wengi leo hawajui kupika na hawajui wenza wao wanatakiwa kula vyakula vipi kwa afya zao. Hii inapelekea kununua vyakula vya haraka kama chips.
4. Tabia ya wapenzi kulala pamoja 24/7 huathiri saikolojia ya wanaume sana.

Hii haiwaathiri sana wenye wake zaidi ya 1 maana kubadilisha badilisha inaongeza hamasa zaidi.

Zamani wazee wetu walikuwa na vyumba vyao spesho vya kulala mke anaalikwa tu anapohitajika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari jamvini, habari wanaume.

Wasisiwasi kwa Sasa Ni juu ya wanawake kukosa pa kukidhi haja zao kutokana na

1. Wanaume kuwa wachache wanawake kuwa wengi,

mf. penye wanaume 50 pana wanawake 150 hilini tatizo.

Na tatizo lingine kubwa,
Kati ya hao wanaume 50 utakuta 30 wanaupungu wa nguvu za kiume walio hai Ni 20 tu . Hili nalo Ni tatizo.

Na hata mimba Ni chache kwa Sasa, sababu Ni hizohizo.

Wanaume hili Ni janga kubwa Sana mjitahidi kulitatua mkicheza dunia itakosa watu na vilio kwa wanawake vitakuwa vikubwa sana.

Wanaume mpoo

Sent using Jamii Forums mobile app

Haja tena sio pesa eee?

🤣🤣🤣🍺👣
 
Back
Top Bottom