Balqior
JF-Expert Member
- Jun 8, 2021
- 2,406
- 8,039
Hello
Wote tunajua kuwa wadada wanaojiuza barabarani, wanajiuza sababu ya umaskini na ugumu wa maisha.
Ila nina swali, kuna idea niliisikia kutoka kwa baadhi ya wanawake, tena tofauti tofauti, kuwa sio wadada wote wanaojiuza barabarani wanajiuza sababu ya umaskini, au tamaa ya kupata hela ya ziada
1) Wengine wanajiuza sababu wana hulka ya kutaka kulala na wanaume wengi.
2)Wengine wanajiuza sababu mtaani hawatongozwi, hivyo huenda kusimama barabarani ili achukuliwe na mchati atolewe upwiru
3) Wengine wanajiuza sababu ya curiosity tu, wanataka wajue kujiuza barabarani inakuaje, kulala na strange men inakuaje..ila kiuhalisia hawana shida ya hela..
Wanaume mliowahi nunua dada poa, mshawahi kukutana na type hizi, na mtu ukiwa ni wa kwenda chimbo moja mara kwa mara, utawatambuaje dadapoa wa hivyo?