Tokea enzi ya mitume na manabii: wanaume ruksa kutembea na wanawake lukuki. wapi umesikia mwanamke kaoa wanaume zaidi ya mmoja? Baba yangu alikuwa na wake watatu.
baba zetu walikuwa wanafanya kazi ngumu labda waliweza kuwasatisfy hao wake wengi ila kwa maisha haya ya sasa ya kushinda kwa PC na kupanda magari inabidi tufanye utafiti kama wanawake wanakuwa satisfied