siku zote mtenda akitendwa ndo inamuuma.
alikurupuka sana.
ile ilikuwa movie ambayo angeicheza scenes moja baada ya ingine.
alipoingia gest angemuacha aingie ndani kabisa chumbani ili lengo la mkewe kuingia gest liwe lilikamilika, then yeye ndo aingie pale reception
then ampigie mkewe simu kumuuliza uko wapi...simu isipopokelewa atume ujumbe kumtaarifu kuwa niko hapa reception ukimaliza starehe zako nakusubiri tuongee. then movie part 2 ianzie hapo.
Ndoa hizi jamani....wizi mtupu...kulipiza kisasi ni kujenga au kubomoa...