una inferiority complexhili unalijua wewe ila kuna viwanaume kikikuona no matter umekisemesha or not bado kinakudharau asee unamdharauje mtu anaekuzid elimu, pesa na kila kitu hadhi dhambi kakuzid hebu chill men
Sent using Jamii Forums mobile app
Halipo Mkuu labda wa Imani zingine.Nipe andiko lililosema kunywa beer ni dhambi
Bossi mbona unatufokea kisa hatunywi pombe,ila hongera umeifanyia pombe mbonge la edification, mpaka natamani nijiunge kwa chama cha wanywaji,vipi mnapokea wanachama wapya.ETI UNAENDESHA HATA KWENYE KAMBA KWELI GAMBE SIO MAJI.Habari za mda huu,
Hivi kwanini hawa washikaji wasiokunywa wanatuchukulia makolo? yaani hawa washikaji wasiokunywa pombe sijui huwa wanatuchukuliaje asee, kwanza hamna wanachotuzidia ni njaa tu zinawasumbua ila cha ajabu wanadharau sana hawa washikaji, yaani hawana nyumba, hawana gari wala pesa cha ajabu wanajiona special sana.
Asee waambieni kuwa sio kila anaekunywa pombe kakata ringi, hawa jamaa wanaangalia wale vichaa mitaani wanaamini kuwa ndio walevi walivyo, yaani unamchukulia mtu aliekata ringi anakunywa gongo na chibuka huko alafu wanaamini ndio akili za watumiaji wote wa gambe, hivi hawa jamaa wanajua starehe tunayoipata kwenye gambe kweli?
Wanajua ile burudani ya kuanza kuona taa kama autofocus vile, wanajua kweli furaha ya gambe mwili unavyokuwa strong kweli? wanajua kweli umakini tulionao baada ya kupga gambe, aliewaambia waliopiga gambe wanapata ajali ni nani? Yaani hawa jamaa hawajui kama tukipiga gambe umakini unaongezeka mara 10 ya umakini wa awali, na huwa tunajiamini sana tunaweza kuendesha gari hata kwenye kamba na tusipate ajali? hebu nisaidieni kuwaambia hawa watoto wa mama kuwa njaa haifurahiwi, wasiokunywa ni pesa hawana wasijione special.
Wachungaji mkuje huku huyu kondoo anahitaji maombi maalumu eti, zile fedha zitumie kwa cho chote itakachotamani roho yako, ng'ombe, au kondoo, au divai, au kileo,Halipo Mkuu labda wa Imani zingine.
Sisi tumerusiwa kunywa hata kwenye matoleo yetu ya Zaka.
" Kumbukumbu la Torati 14:22
Usiache kutoa zaka ya fungu la kumi katika maongeo yote ya mbegu zako, yatokayo shamba mwaka baada ya mwaka.
14:23 Nawe utakula mbele za Bwana, Mungu wako, mahali atakapochagua apakalishe jina lake, zaka ya nafaka zako, na divai yako, na mafuta yako, na wazaliwa wa kwanza wa makundi yako ya ng'ombe na ya kondoo; ili upate kujifunza kumcha Bwana, Mungu wako, daima.
14:24 Na njia ikiwa ndefu mno nawe, usiweze kuzichukua kwa kuwa mahali ni mbali nawe mno atakapochagua Bwana, Mungu wako, apakalishe jina lake, hapo atakapokubarikia Bwana, Mungu wako;
14:25 ndipo uzibadili ziwe fedha, na kufunga zile fedha uende nazo mkononi mwako, hata mahali atakapochagua Bwana, Mungu wako;
[emoji117]14:26 na zile fedha zitumie kwa cho chote itakachotamani roho yako, ng'ombe, au kondoo, au divai, au kileo, au roho yako itakacho kwako cho chote; nawe utakula huko mbele za Bwana, Mungu wako; tena furahi, wewe na nyumba yako;"
Isipokuwa tumeambiwa tunywe kwa kiasi na kurudi nyumbani mapema.
Bila kusahau maagizo ya Mungu wetu.
Isaya 5:11
"Ole wao waamkao asubuhi na mapema, wapate kufuata kileo; wakishinda sana hata usiku wa manane mpaka mvinyo imewaka kama moto ndani yao!
5:12 Na kinubi, na zeze, na matari, na filimbi, na mvinyo, zote ziko katika karamu zao; lakini hawaiangalii kazi ya Bwana wala kuyafikiri matendo ya mikono yake."
ha...ha...ha.Wachungaji mkuje huku huyu kondoo anahitaji maombi maalumu eti, zile fedha zitumie kwa cho chote itakachotamani roho yako, ng'ombe, au kondoo, au divai, au kileo,
Pole Mkuu.Kipi kimekufanya Uniite kibaka?
fact"Wahenga walisema pata pesa tutukujue tabia yako"
Asikudanganye mtu, tuna walevi wengi sana ila tabia yao imejificha kwa kukosa pesa, hao wanywa soda wengi wamefichwa tabia zao kwasababu ya kukosa pesa, wakipata tu wanadevelop tabia yao halisi
safi sana mkuu hawajui kosa ni matokeo ila sio kinywaji wanakalilishana tuHalipo Mkuu labda wa Imani zingine.
Sisi tumerusiwa kunywa hata kwenye matoleo yetu ya Zaka.
" Kumbukumbu la Torati 14:22
Usiache kutoa zaka ya fungu la kumi katika maongeo yote ya mbegu zako, yatokayo shamba mwaka baada ya mwaka.
14:23 Nawe utakula mbele za Bwana, Mungu wako, mahali atakapochagua apakalishe jina lake, zaka ya nafaka zako, na divai yako, na mafuta yako, na wazaliwa wa kwanza wa makundi yako ya ng'ombe na ya kondoo; ili upate kujifunza kumcha Bwana, Mungu wako, daima.
14:24 Na njia ikiwa ndefu mno nawe, usiweze kuzichukua kwa kuwa mahali ni mbali nawe mno atakapochagua Bwana, Mungu wako, apakalishe jina lake, hapo atakapokubarikia Bwana, Mungu wako;
14:25 ndipo uzibadili ziwe fedha, na kufunga zile fedha uende nazo mkononi mwako, hata mahali atakapochagua Bwana, Mungu wako;
[emoji117]14:26 na zile fedha zitumie kwa cho chote itakachotamani roho yako, ng'ombe, au kondoo, au divai, au kileo, au roho yako itakacho kwako cho chote; nawe utakula huko mbele za Bwana, Mungu wako; tena furahi, wewe na nyumba yako;"
Isipokuwa tumeambiwa tunywe kwa kiasi na kurudi nyumbani mapema.
Bila kusahau maagizo ya Mungu wetu.
Isaya 5:11
"Ole wao waamkao asubuhi na mapema, wapate kufuata kileo; wakishinda sana hata usiku wa manane mpaka mvinyo imewaka kama moto ndani yao!
5:12 Na kinubi, na zeze, na matari, na filimbi, na mvinyo, zote ziko katika karamu zao; lakini hawaiangalii kazi ya Bwana wala kuyafikiri matendo ya mikono yake."
Wewe utakuwa ni mlokole !!!Hakuna justification yoyote unayoweza kutetea sumu kali aina ya pombe inayoua taratibu.
Niambie nani alikula samaki akafa ..nani alikunywa maji safi na salama akafa, nani alijipaka mafuta ya Nazi au yoyote ya asili akafa..
Embu acha utani. Kwaheri.
Umetishaha...ha...ha.
Hapa Wachungaji hawapasomi.
Wanapita kimya kimya.
Pombe inawafaa watu wenye nguvu na busara.
Kwa wadhaifu pombe ni kaburi la kila anachokitegemea.
Ndio maana Makanisani Pombe inakatazwa, kwakuwa wanashindwa kutambua nani ana uwezo wa kunywa pombe kistaarabu bila kuathiri maisha yake binafsi na ya jirani yake na mahusiano na Mungu wake.
Walevi mna shida sana mjomba unahitaji maombiHabari za mda huu,
Hivi kwanini hawa washikaji wasiokunywa wanatuchukulia makolo? yaani hawa washikaji wasiokunywa pombe sijui huwa wanatuchukuliaje asee, kwanza hamna wanachotuzidia ni njaa tu zinawasumbua ila cha ajabu wanadharau sana hawa washikaji, yaani hawana nyumba, hawana gari wala pesa cha ajabu wanajiona special sana.
Asee waambieni kuwa sio kila anaekunywa pombe kakata ringi, hawa jamaa wanaangalia wale vichaa mitaani wanaamini kuwa ndio walevi walivyo, yaani unamchukulia mtu aliekata ringi anakunywa gongo na chibuka huko alafu wanaamini ndio akili za watumiaji wote wa gambe, hivi hawa jamaa wanajua starehe tunayoipata kwenye gambe kweli?
Wanajua ile burudani ya kuanza kuona taa kama autofocus vile, wanajua kweli furaha ya gambe mwili unavyokuwa strong kweli? wanajua kweli umakini tulionao baada ya kupga gambe, aliewaambia waliopiga gambe wanapata ajali ni nani? Yaani hawa jamaa hawajui kama tukipiga gambe umakini unaongezeka mara 10 ya umakini wa awali, na huwa tunajiamini sana tunaweza kuendesha gari hata kwenye kamba na tusipate ajali? hebu nisaidieni kuwaambia hawa watoto wa mama kuwa njaa haifurahiwi, wasiokunywa ni pesa hawana wasijione special.
Huyu anaonekana anabugia gongoHuwa unapiga bia gani mkuu?
Ngapi kwa siku?
Macho yako ni makali sana.Habari za mda huu,
Hivi kwanini hawa washikaji wasiokunywa wanatuchukulia makolo? yaani hawa washikaji wasiokunywa pombe sijui huwa wanatuchukuliaje asee, kwanza hamna wanachotuzidia ni njaa tu zinawasumbua ila cha ajabu wanadharau sana hawa washikaji, yaani hawana nyumba, hawana gari wala pesa cha ajabu wanajiona special sana.
Asee waambieni kuwa sio kila anaekunywa pombe kakata ringi, hawa jamaa wanaangalia wale vichaa mitaani wanaamini kuwa ndio walevi walivyo, yaani unamchukulia mtu aliekata ringi anakunywa gongo na chibuka huko alafu wanaamini ndio akili za watumiaji wote wa gambe, hivi hawa jamaa wanajua starehe tunayoipata kwenye gambe kweli?
Wanajua ile burudani ya kuanza kuona taa kama autofocus vile, wanajua kweli furaha ya gambe mwili unavyokuwa strong kweli? wanajua kweli umakini tulionao baada ya kupga gambe, aliewaambia waliopiga gambe wanapata ajali ni nani? Yaani hawa jamaa hawajui kama tukipiga gambe umakini unaongezeka mara 10 ya umakini wa awali, na huwa tunajiamini sana tunaweza kuendesha gari hata kwenye kamba na tusipate ajali? hebu nisaidieni kuwaambia hawa watoto wa mama kuwa njaa haifurahiwi, wasiokunywa ni pesa hawana wasijione special.
Ini lako lipo sawa?[emoji23][emoji23][emoji23] Tangu nianze kupiga vyombo mambo yangu yanaenda vizuri sana nakutana na watu makini wananipa deals makini sana sasa hivi najenga kamjengo kangu
wewe uini lako umelioana? hebu tuondolee uchuro nduguIni lako lipo sawa?
Na vipi,kwa sisi ambao tukipiga bia kuanzia tatu na kuendelea mjomba anasimama hivyo kuhitaji mbususu kwa mantiki hiyo pesa yetu inatumika kunywa pombe na kuwapa michepuko,na kiuchumi bado tupo vizuri??.Kunywa pombe sio utajiri na kutokunywa sio umasikini.
Mimi sinywi pombe ila nina uhakika 100% kwamba nakuzidi kila kitu, elimu, exposure, uwezo wa kifedha, nafasi, mali, akili na kila kitu.
So kunywa vibia vyako 2 vya mawazo haikufanyi uwe na hela kuliko ambae hanywi.
Wewe ukinyaa bia nyingi sana kwa siku haizidi 100k ambayo ni average ya 3m kwa mwezi.
Mimi naependa wanawake na sinywi pombe bajeti yangu ya wanawake kwa mwezi iko juu kuliko bajeti yako ya pombe.