Wanaume msiokunywa pombe acheni majungu. Tunaokunywa tunawazidi kila kitu kuanzia pesa hadi maisha; njaa zenu zisiwape viburi, hamna chochote

Umesema hawajajenga, hawana magari kama wewe ulivyokuwa nayo lakini wanajiona kuwa smart kuliko wewe unayekunywa pamoja na kuwa una magari na nyumba, wako sahihi Sana ndio maana wao hawajalalamika kwanini hawana hivyo ulivyonavyo wewe Cha ajabu wewe ndio nalalamima Kwa wao kujiona smart pamoja na kuwa unapata deals nyingi katika kulewa kwako, unanga'ng'ana na maendeleo ya vitu wakati afya yako unaiteketeza Kwa kunywa mapombe makali ukiona ndio ujanja wakat mtaji mkubwa wa maendeleo ni Afya, hata kama hawana ulivyonavyo ila kuwa na afya tu ni mtaji utakaowawezesha na wao kujenga huku wakiwa salama, endelea kuchoma maini uje upate matatizo ya mapafu na Figo huko mbele utakapoanza kuyashughulikia ruti za kwenda India zitapukutisha tuhela twako, ndio maana wao wanajiona smart
 
Pumbavuh! Kifo kila mtu atakufa, it depends umekufaje au nini kimechangia ufe, Soda ndio nini.. Mimi sinywi hayo matakataka yenye sumu.soda(sumu) haina tofauti na pombe(sumu) unayokunywa.

Sent from my TECNO K9 using JamiiForums mobile app
kavute mkuu cha arusha ila nacho after few days utakuwa ushapoteza dila mkuu haya maisha mda mwingine hayaitaji kuogopa mkuu unaweza kukwepa kuunguza maini cha ajabu bodaboda kala zake akakuptia na akakatisha uhai wako your not suppose to fie like that

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu umeongea maana ila hapa nimenotify kuaharibu afya kifo etc na ndio imani ya watu wa aina yako wanajua wako smart hata kwa mpango ya mwenyezimungu ila ukweli ni kwamba utakwepa sumu zungumza ni mipango ya mungu ila siku yako ikifika hautakwepa mkuu haya unayozungumza ni mipango ya mwenyezimungu mkuu ambayo huwa hatupangi sis

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wasiokunywa wana kitu mbadala ambacho kinatafuna ngawira kuliko pombe. Kuna mtu kanitonya ni ZIPU Ila sielewi ni nini.
 
Wanywa pombe a k a walevi wanaongoza kwa kupiga mizinga,mnakera mno,umenikuta nakunywa soda nakukaribisha soda unataka bia nyambafu.
 
Ni kujifariji tu na kupeana moyo... Lakini pombe mwishowe watu wameishia pabaya sana.

Wengi wanaosifia sana sana wapo kwenye umri wa awali .... Lakini mbele ya safari , madhara mbalimbali ya kifamilia, afya na kiuchumi...
 
Raha ya kunywa pombe zishuke hapo kwa chini, na usiombe baby ikute ipo mwezini,
Wewe dada unapofungua mlango wa mbele hakikisha wa nyuma umefungwa,
Hainaga macho haionagi mbele unaweza kuikuta Igunga, utaikuta Igunga uko yani imeteleza hadi Igunga uko.
 
Kwa kuongezea tu mkuu bar hapewi huduma mpaka atangulize pesa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…