Wanaume msiokunywa pombe acheni majungu. Tunaokunywa tunawazidi kila kitu kuanzia pesa hadi maisha; njaa zenu zisiwape viburi, hamna chochote

Acha ujinga wa kutoa mijumuisho bila ushahidi wowote wa maana. Umefanya utafiti lini, wapi na kwa nani hadi kuja na hitimisho hili jumla na uchwara? Kesho utasikia eti wanaovuta sigara au bangi nao wanawazidi fedha wasiofanya hivyo. Ni aibu mwanangu.
 
Acha ujinga wa kutoa mijumuisho bila ushahidi wowote wa maana. Umefanya utafiti lini, wapi na kwa nani hadi kuja na hitimisho hili jumla na uchwara? Kesho utasikia eti wanaovuta sigara au bangi nao wanawazidi fedha wasiofanya hivyo. Ni aibu mwanangu.
tulia dogo weka hapa screenshot ya kiasi ulichonacho kwa account yako then na mimi nikuqwekee mslete majungu hamna chochote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe naongea na kichaa! Du sikujua. Nisamehe mwanangu ngoja nikuache uende Mirembe lau unaweza kupata msaada.
haya madharau ndio mnayo ila hamna kingine let atime talk miaka 40 haunywi pombe na hauna gari wala nyumba unaishia kuchomekea shati la mikono mrefu na brabra mingi kushiriki vikao vya kijiji wewe ndio mchangiaji na kuvaa mashati ya msaada ya chama cha mapinduzi utakuta kimtu kimebaa shati mgongoni kina picha lusinde are you seruous?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwetu inakuwa kawaida sababu expenses sio kubwa.
expense ipi inazungumzia soda ya jero what you gonna protect ndio maana mnaamini mnajiana ila chakushangaza maiaka 40 hauna nyumba wala gari the same moment unabana matumizi kunywa soda ya jero? bulshit men what expenses your talking about dude lets be serious

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Unaweza usiwe kolo,lakini yanayo tokea uko barabarani sio poa,madhala yanatokea pande tofauti na unavyo fikiri,pombe aijengi.

Pombe yaweza kukupa ulemavu na sio kukufilisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…