Nakusikitikia ewe mnywa pombe.
Kansa yakungoja. Acha sasa kabla its too late.
this is another topic, mimi nazungumzia mambo mengine wewe unaleta habari za wanywa pombe za ofa, na tatzo linaanzia hapa kwa wanywa soda huwa wanaamini kuwa kila anaekunywa ni njaa kali afu ni wehu, mkuu nenda Dom pale loyal village, nenda chinangali pack, au nenda Dsm pale scape 1 uone maisha ya wanywaji achana na akina massawe wanywa mbege hao mnaowadharau, ndio maana nikasema mtu akiwa hana hela huwa hata ukujenga fensi ya nyumba anakuona rofa unaharibu hela yaani ikiwa hauna hela unajikuta uko very budgeted sana na hauna kitu, mtu ananunua AUD au mtu ananunua BMW, kama hauna hela unaona ni uharibifu wa hela bora angenunua STALET, 2Wenyewe ni malofa kupindukia.
Ukienda Bar wanunuzi hawazidi 10, wengi ni omba omba wa kununuliwa mwisho wa siku wanapelekewa moto
We kadada niache. Akiamka na hangover mi simo.Mnoooo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
aku. mkiishiwaga mnakuwaga na hasiraaaa🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣Mnoooo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Cheka tu Mama D akija tutajumlishwa.🤣🤣🤣🤣🤣
Cheka tu Mama D akija tutajumlishwa.
Jumamosi njoo uonje pafu hata mbili tu za kuanzia.Nigawie basi
Miss you too Dear. Najienjoy tu humu.Nilikumiss sana
Lkn ukitaka hela kula hakupi lkn vyombo mpk asubuhi atakununulia sijui kwa nini jengine kweki ni watu wa ahadi akisema atakusaidia ujue ni kweli.Ninavyo fahamu,
Wanywaji pombe wana roho nzuri sana.
Pia sio wa kupenda michepuko sana.
Wakishakunywa na kutosheka hao wanarudi nyumbani kulala.
HUYU PENGINE KAANZA KUNYWA BALIMI JUZI TU HAPA ANAONGLEA WALEVIHabari za mda huu,
Hivi kwanini hawa washikaji wasiokunywa wanatuchukulia makolo? yaani hawa washikaji wasiokunywa pombe sijui huwa wanatuchukuliaje asee, kwanza hamna wanachotuzidia ni njaa tu zinawasumbua ila cha ajabu wanadharau sana hawa washikaji, yaani hawana nyumba, hawana gari wala pesa cha ajabu wanajiona special sana.
Asee waambieni kuwa sio kila anaekunywa pombe kakata ringi, hawa jamaa wanaangalia wale vichaa mitaani wanaamini kuwa ndio walevi walivyo, yaani unamchukulia mtu aliekata ringi anakunywa gongo na chibuka huko alafu wanaamini ndio akili za watumiaji wote wa gambe, hivi hawa jamaa wanajua starehe tunayoipata kwenye gambe kweli?
Wanajua ile burudani ya kuanza kuona taa kama autofocus vile, wanajua kweli furaha ya gambe mwili unavyokuwa strong kweli? wanajua kweli umakini tulionao baada ya kupga gambe, aliewaambia waliopiga gambe wanapata ajali ni nani? Yaani hawa jamaa hawajui kama tukipiga gambe umakini unaongezeka mara 10 ya umakini wa awali, na huwa tunajiamini sana tunaweza kuendesha gari hata kwenye kamba na tusipate ajali? hebu nisaidieni kuwaambia hawa watoto wa mama kuwa njaa haifurahiwi, wasiokunywa ni pesa hawana wasijione special.
Sent using Jamii Forums mobile app
Waambie hao wavimba macho afu mademu wanatukubali Sana ndio maana tuwagongeaHabari za mda huu,

Unataka ini jipya ukamringishie nani na wakati ukifa linaliwa na funza
Kunywa bia wewe acha uoga wa maisha[emoji23][emoji23][emoji23]
Kama kufa kupo tu, maisha ndio haya haya..tunaishi ...tutazaliwa upya na maini mapya
Waambie hawajui raha iliyopo kwenye pombe