Wanaume msiokunywa pombe acheni majungu. Tunaokunywa tunawazidi kila kitu kuanzia pesa hadi maisha; njaa zenu zisiwape viburi, hamna chochote

Mimi Kama mjumbe nakubaliana na hoja👍👍
 
Hapana sio wote kwa vyote..nakataa
 
Duh kama unakunywa baada ya kufanikisha deal mara moja kwa mwezi ...kazi sana manake mi nafanikisha karibu kila siku nayofanya biashara sa hapo ndio inakuwaje jombi? ...ndio maana nalewa karibu daily
 
Nipe andiko lililosema kunywa beer ni dhambi
 
Duh kama unakunywa baada ya kufanikisha deal mara moja kwa mwezi ...kazi sana manake mi nafanikisha karibu kila siku nayofanya biashara sa hapo ndio inakuwaje jombi? ...ndio maana nalewa karibu daily
😂😂 Mkuu you made ma day kuna zile dili special kwa upande wangu like 10k dollars na Kuendelea ndo huwa siziachagi hivihivi lazima Chivas Regal ihusike ila si unatmia pesa ako kula mchupa mkuu live to the foolest
 
Kuna kipind nlithamiria kuacha Monde, baba angu mdogo akaniambia "we msenge unataka kua shoga eeeh..." Kwa ile lafudhi ya kimang Sasa! Ha ha ha
 
Maana ya kujenga inaijua? Kunywa ujenge ini lako liwe na mafuta (fatty liver). Check on Google.
Zikiwekwa maiti mbili hapa,moja ina ini zima kabisaaa na nyingine ini limeharibika ile mbaya ..WHAT IS THE DIFFERENCE!? Mwenye ini zima, ini lake lina faida gani!?
 
Tena wote wasiokunywa wanakuzidi kwa hela ndefu. Kasoro huyo tu jirani yako unaemuonea wivu unaemsema hapa. Ni wastaarabu na wana nyumba na wana usafiri pia. Wewe endelea kupiga yowe hapa,kule wanazaa na demu wako,huku wewe uko njwii
 
Walevi wengi huwa wanaamin wana hela pale wanaopenda bar na kukuta parking zimejaa magari wakat wao wameenda kwa miguu Sasa si uwendawazimu huo
Sasa wanaokokokta ndiga na hawanywi pombe wanawapimia wap maendeleo? Kama maendeleo yao wanayapima kwenye parking za bar? Ndo maana tunasema pombe mbaya haya ni madhara ya ulevi.
 
Kunywa mikojo ya filauni unajiona mjaanja mtoto wa kimakonde kunywa hayo mataptap sio deal sie wanywa soda starehe yetu unaijua hatuna kokolo ni kuibuka na pisi kali tu hapa town mataptap yakae na mbali hukoo na siku-3-ukivunjiwa yai utwambie mazee
 
Hakuna mtz wa kawaida anayekunywa pombe za lki 1 kwa siku labda kama zinauzwa kwa dola na yenyewe ni yale mawisky makubwa limoja tu mtu anakunywa wiki, hawa unaongea nao hapa pombe zao ni za sh 10,000 kwa siku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…