Wanaume msiwe hivi!

Wanaume msiwe hivi!

Hvi jamani imagine una rafiki ako mmekutana kwenye mitandao tu ya kijamiii ukawa mnaongea vizuri yeye ni me wewe ni mwanamke, then anaonyesha kama vile anakutaka na wewe upo single baadae mara anaongelea ma x wake sijui hawezi kuwasahau [emoji57].

Badilikeni wanaume mnatukata sana.

Unakuta ushaanza kumuelewa lakini ndiyo hivyo[emoji18]

Imeniuma sana aisee [emoji2212][emoji2212][emoji2212]
Naomba nikushauri ....kama ume mwelewa tafta mda nenda kampe kitumbua akisha maliza gemu sasa mweleze usiyo yapenda ...nikuahidi atacha na atabadilika
 
Hiyo staili huwa tunatumia pale tunapojichanganya kumpenda demu wa mtandaoni tukidhani ni demu mkali alafu baadae tukagundua tulijichanganya vibaya hana ukali wowote

Ndo utashangaa unaanza kuitwa dada
 
Back
Top Bottom