Al-Watan
JF-Expert Member
- Apr 16, 2009
- 11,891
- 14,583
"Mimi nimevuka bahari bila kichwa kulowa maji, silogeki".
Jana alikuja jamaa hapa JF ana trend na thread anatafuta demu Mzungu awe na urafiki kwa nia ya kuoa. Tena wa kukaa naye Tanzania si kutafuta safari ya ughaibuni.
Nikaona fadhaa sana. Kwanini mtu anatafuta Mzungu kwa umahsusi hivi? Sina tatizo na mapenzi ya watu wa rangi tofauti yakitokea tu kama mapenzi, lakini huyu anawinda Mzungu akanifanya nijiulize sana.
Kwetu hakuna mabinti wa kuvutia?
Kimetokea nini?
Nimesikiliza hiyo audio.
Kama mtu anakutana na wanawake wa aina hiyo, akiamua kutafuta Mzungu aliyetuliza kichwa wala siwezi kumshangaa.