Sio kila habari imeandikwa tafiti zinasema basi ujue ni tafiti kweli. Hiyo tafiti ingebidi aielezeee hatua kwa hatua hadi jinsi mtu mwenye hali avyopinda big boobs
Hiyo iliyoletwa si tafiti bali ni maneno tu yanasema kua "Tafiti inasema...." kama ingekua imeletwa tafiti basi ningeipinga kwa tafiti.mkuu ungesema kuwa kila habari si tafiti tungekuelewa,otherwise tafiti hupingwa na tafiti...
Hiyo iliyoletwa si tafiti bali ni maneno tu yanasema kua "Tafiti inasema...." kama ingekua imeletwa tafiti basi ningeipinga kwa tafiti.
Majitu mazinzi buanawataalamu wa mambo wanasema wanaume wanaovutiwa na Wanawake wenye matiti makubwa hali zao za kiuchumi hua duni
Mimi siamini..naomba wanaume mtuthibitishie kama ni kweli
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha..unamuongelea nani mkuuUkweli ni huu yule mwanamume unayesemaga atume pm,huoni pm,pm imefanyaje ni mume wa mtu ndoa ya kanisani na muke yake anasomaga sana humu.
Muwache mukaka wa watu.