Wanaume mtuambie ukweli

Kama case study ni mimi hao wataalamu wako sahihi
 
#UNAAMBIWA wataalamu wa mambo wanasema kuwa asilimia kubwa ya wanao sikia nyege ni maskini tu.







Nami ni mtaalamu wa mambo shenzi zao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizi tafiti zingine watu huzifanya ili wapate matunda ya tafiti zao tu. Ila mengine ni uongo tu.

Kwahiyo tukivutiwa na nyonyo saa sita VYUMA VITALEGEA?


Sent using Jamii Forums mobile app
 
ingekuwa wenye matiti makubwa wanatoa maziwa kama ng'ombe basi ningesema kweli

maana hao wenye hali duni wangekuwa wanareplace gharama ya msosi kwa kuwanyonya maziwa kama ndama anyonyavyo

ila since hawatoi maziwa kama ng'ombe basi hapo hakuna ukweli wowote
 
wataalamu wa mambo wanasema wanaume wanaovutiwa na Wanawake wenye matiti makubwa hali zao za kiuchumi hua duni

Mimi siamini..naomba wanaume mtuthibitishie kama ni kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi inatosha kwa mtu kama Milard Ayo kuitwa 'mtaalam wa mambo' na kuwa basis ya hoja JF? Nadhani hapana!
 
Naomba kuuliza Tafiti inaposema WANAUME HUVUTIWA ZAIDI NA WANAWAKE WENYE MAKALIO MAKUBWA kuna uhusiano wowote?
 
sasa mbona yajayo yanachonganisha
 
Nakubaliana nayo maana mie napenda matiti bwana...ila Sasa hiyo pesa inavyonipiga chenga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…