Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi inatosha kwa mtu kama Milard Ayo kuitwa 'mtaalam wa mambo' na kuwa basis ya hoja JF? Nadhani hapana!wataalamu wa mambo wanasema wanaume wanaovutiwa na Wanawake wenye matiti makubwa hali zao za kiuchumi hua duni
Mimi siamini..naomba wanaume mtuthibitishie kama ni kweli
Sent using Jamii Forums mobile app
Demiss tupe uzoefuwataalamu wa mambo wanasema wanaume wanaovutiwa na Wanawake wenye matiti makubwa hali zao za kiuchumi hua duni
Mimi siamini..naomba wanaume mtuthibitishie kama ni kweli
Sent using Jamii Forums mobile app
Nawe nido ipo ya nguvu?