Wanaume mtumie akili sasa, tunazingua

Kiukweli madada poa nilinunua sana tabia chafu hii nilianzia pale kimboka Buguruni nikaendelea nayo mpaka mafiati mbeya sijisifu ila najuta kununua malaya
 
Ngono siyo Kila kitu linapokuja swala la ndoa ( kuwa na mwanamke) Kuna mambo mengi uta benefits tofauti na ngono
 
Muanzilishi wa taasisi ya ndoa ni Mungu. Ila huu mkataba wa cheti cha ndoa na sheria za kipuuzi zimeletwa na kuzimu ili kutuia wanaume na tuzidi kuishi maisha ya kuteseka. Mwanaume spiritually amebeba vitu vingi haswa vizito kiasi hata shetani hakujaribu kwenda kwa mwanaume.
 
Kwahyo kuonana Muslims na Christian wewe kwako unaonaje
Je Inawezekana ndoa kufungika bila kuleta shida
 
Ulianza vizuri ila hapo kwenye kushauri watu wasioe ndo umetoa ushauri wa kiboya, mtoto wakiume hutaki kuoa unataka kufanyaje kuolewa au?
 
Kiukweli madada poa nilinunua sana tabia chafu hii nilianzia pale kimboka Buguruni nikaendelea nayo mpaka mafiati mbeya sijisifu ila najuta kununua malaya
Nin kilichokukuta boss, wape somo vijana watajifunza kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…