The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 6,017
- 19,506
Nimepata kufaham hivi karbuni kua msanii Nay wa Mitego alikua na mahusiano na huyu mwanamke ambae mara nyingi nilikua naona videos zake mitandaoni ila nilikua simjui.
Najiuliza Nay msanii mkubwa ambae yuko exposed na warembo wa maana alivutiwa nini na huyu mtu?