Wanaume muda mwingine sijui hua tunawaza nini, sasa Nay alivutiwa nini na Fey?

Wanaume muda mwingine sijui hua tunawaza nini, sasa Nay alivutiwa nini na Fey?

Labda, inawezekana pia.
Unajua wanawake shapeless wengi mileage hawajaenda sana na unakuta engine zao bado ziko imara maana hazijapita kwenye 'makorogesheni' mengi.

Ila huyo mwanamke kwa mtazamo wangu sio wa level za kina Nay. Kwanza shapeless, hana mkia, kifua kikubwa, hayuko proprotional, sauti mbaya, sura mbaya, uso kama embe, kwa ujumla ni polygon.
[emoji134] [emoji134] Mkuu, kama mwenyewe ndo angekuwa anasoma comment yako chozi lingemdondoka. Hizo sifa ulizotoa kiboko! Sura kama embe...!!! [emoji1] [emoji1]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kwani yy hawezi kupendwa?
 
View attachment 652928 View attachment 652929
Nimepata kufaham hivi karbuni kua msanii Nay wa Mitego alikua na mahusiano na huyu mwanamke ambae mara nyingi nilikua naona videos zake mitandaoni ila nilikua simjui.

Najiuliza Nay msanii mkubwa ambae yuko exposed na warembo wa maana alivutiwa nini na huyu mtu?
Wawezakuta na yeye angemjua mpenzi wako angeuliza swali kama hilo uliloliuliza
 
Labda, inawezekana pia.
Unajua wanawake shapeless wengi mileage hawajaenda sana na unakuta engine zao bado ziko imara maana hazijapita kwenye 'makorogesheni' mengi.

Ila huyo mwanamke kwa mtazamo wangu sio wa level za kina Nay. Kwanza shapeless, hana mkia, kifua kikubwa, hayuko proprotional, sauti mbaya, sura mbaya, uso kama embe, kwa ujumla ni polygon.
Wanaokosoa hivi hua ni wabayaaa
 
Kuna kausemi kana sema ivi kila mtu ana MTU wake so usishangae hata wako ukimleta hapa tunaweza kukushangaa piq
 
Uyu dada balaa kapita red carpet kaulizwa swali kajikuta ka bonge la celeb anawai sehemu na taulo lake
Mtangazaji;;umemwacha ney kisa nini
Fey;;nimemwachia nini ney??ana kibamia uyo(uku akiharakisha sehemu)
 
hio picha ya pili pembeni kuna vibastola ndani ya red duu
 
Back
Top Bottom