Wanaume muda mwingine wanaboa sana

Wanaume muda mwingine wanaboa sana

Mmefahamiana na mwanaume kwenye mitandao ya kijamii,mnaanza kuchati mnazoeana

Siku anakuomba aje kukusalimia unakokaa,unamwambia hamna shida njoo

Anapanga siku anakuja,unampokea,unamkaribisha nyumbani kwako

Unampikia,anakula anashiba mnapiga stories

Inafika usiku unaenda guest kumchukulia chumba cha kulala ili apumzike ili kesho mzidi kupiga stori na kufahamiana zaidi anakataa

Anakulazimisha mlale naye chumbani kwako,unakataa unampa sababu ,kwa kuwa ni mara ya kwanza kukutana uso kwa uso nakuomba ukalale guest kesho tutaongea zaidi ,bado anakataa anakulazimisha mlale chumbani kwako

Basi unaona isiwe shida halafu ni mgeni unamuachia chumba chako alale ,naenda kwa rafiki yangu wa kike nikalale anakataa

Naonyesha msimamo anuna na kuzira na kuondoka usiku huo,namuacha anaenda,nafunga mlango naingia chumbani kwangu nalala,ila nachukua sim kumuuliza alipoenda kulala,hapokei sim,namtext ananijibu "Amesafiri kutoka mkoani km 720 halafu alale mwenyewe,wewe mwanamke hufai na huna huruma"

Wanaume bwana mungu anawaona

Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee ni kama ulikuwa unanisemea mimi but nashukuru alikuja usiku ule ule kunitafuta nikarudi nae kwake nikalala kwenye kitanda chake na papuchi nikaimega kiulaini.
Hii mbinu tamu sanaaaaaaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmefahamiana na mwanaume kwenye mitandao ya kijamii,mnaanza kuchati mnazoeana

Siku anakuomba aje kukusalimia unakokaa,unamwambia hamna shida njoo

Anapanga siku anakuja,unampokea,unamkaribisha nyumbani kwako

Unampikia,anakula anashiba mnapiga stories

Inafika usiku unaenda guest kumchukulia chumba cha kulala ili apumzike ili kesho mzidi kupiga stori na kufahamiana zaidi anakataa

Anakulazimisha mlale naye chumbani kwako,unakataa unampa sababu ,kwa kuwa ni mara ya kwanza kukutana uso kwa uso nakuomba ukalale guest kesho tutaongea zaidi ,bado anakataa anakulazimisha mlale chumbani kwako

Basi unaona isiwe shida halafu ni mgeni unamuachia chumba chako alale ,naenda kwa rafiki yangu wa kike nikalale anakataa

Naonyesha msimamo anuna na kuzira na kuondoka usiku huo,namuacha anaenda,nafunga mlango naingia chumbani kwangu nalala,ila nachukua sim kumuuliza alipoenda kulala,hapokei sim,namtext ananijibu "Amesafiri kutoka mkoani km 720 halafu alale mwenyewe,wewe mwanamke hufai na huna huruma"

Wanaume bwana mungu anawaona

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi dar mpaka bukoba kilomita ngapi vileee .
Nafikria kwa huruma ningewezaje kuondoka usiku ule kuja dar kweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmefahamiana na mwanaume kwenye mitandao ya kijamii,mnaanza kuchati mnazoeana

Siku anakuomba aje kukusalimia unakokaa,unamwambia hamna shida njoo

Anapanga siku anakuja,unampokea,unamkaribisha nyumbani kwako

Unampikia,anakula anashiba mnapiga stories

Inafika usiku unaenda guest kumchukulia chumba cha kulala ili apumzike ili kesho mzidi kupiga stori na kufahamiana zaidi anakataa

Anakulazimisha mlale naye chumbani kwako,unakataa unampa sababu ,kwa kuwa ni mara ya kwanza kukutana uso kwa uso nakuomba ukalale guest kesho tutaongea zaidi ,bado anakataa anakulazimisha mlale chumbani kwako

Basi unaona isiwe shida halafu ni mgeni unamuachia chumba chako alale ,naenda kwa rafiki yangu wa kike nikalale anakataa

Naonyesha msimamo anuna na kuzira na kuondoka usiku huo,namuacha anaenda,nafunga mlango naingia chumbani kwangu nalala,ila nachukua sim kumuuliza alipoenda kulala,hapokei sim,namtext ananijibu "Amesafiri kutoka mkoani km 720 halafu alale mwenyewe,wewe mwanamke hufai na huna huruma"

Wanaume bwana mungu anawaona

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi hamkuwa na bundle za kutosha kwenye simu zenu mpige stori mpaka mfunge safari ya kufuatana kweli .

Huyo Ni mvulana siyo mwanaume

Daima toa bila kukumbuka na Pokea bila kusahau
 
iyo profile picture ni yako kbs kbs?????
 
Sasa wewe unadhani alikotoka Hakuna chakulaa???? Hakuna stories...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mbona mnapenda kututafutia dhambi watoto wa wanawake wenzenuu...??? Hivi wewe hioo pussy kwamba haijawahi tafunwa au???

ACHA KUVUNGAA MPE MWANA AJIPIGIEE...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bora huyo mwanaume,mimi kuna mwanadada alinitembelea hivo hivo.Kwangu sikumpeleka nilimwambia accommodation nimeshakuandalia fresh utalala ili kesho ndiyo tufanye mchakato wa kuona uwezekano wa vikojoleo kusalimiana.Ebwaaana niliona mtu ameanza kulia _karibu saa zima analia.Baada ya kulia sana kichwa kikaanza kumuuma.Hakukuwa na namna ilibidi niende kulala naye Lodge ndiyo nikarescue situation.

Sasa hataki kulala room kwako ilaa Gest sawa tu???? na kisa cha kilio ni ninii???[emoji849][emoji849][emoji849]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huo ni ukatili wa hali ya juu 720 km, amemdanganya mwajiri , nakushauri mwombe msamaha, piga picha papusy mtumie japo apigie nyeto
 
Kaomba kulala na we kitanda kimoja sio umpe papuchi kulala tu pamoja elewa sasa amekufuata we iweje akalale gest km ni hvyo si angefikia guest tu
Mmefahamiana na mwanaume kwenye mitandao ya kijamii,mnaanza kuchati mnazoeana

Siku anakuomba aje kukusalimia unakokaa,unamwambia hamna shida njoo

Anapanga siku anakuja,unampokea,unamkaribisha nyumbani kwako

Unampikia,anakula anashiba mnapiga stories

Inafika usiku unaenda guest kumchukulia chumba cha kulala ili apumzike ili kesho mzidi kupiga stori na kufahamiana zaidi anakataa

Anakulazimisha mlale naye chumbani kwako,unakataa unampa sababu ,kwa kuwa ni mara ya kwanza kukutana uso kwa uso nakuomba ukalale guest kesho tutaongea zaidi ,bado anakataa anakulazimisha mlale chumbani kwako

Basi unaona isiwe shida halafu ni mgeni unamuachia chumba chako alale ,naenda kwa rafiki yangu wa kike nikalale anakataa

Naonyesha msimamo anuna na kuzira na kuondoka usiku huo,namuacha anaenda,nafunga mlango naingia chumbani kwangu nalala,ila nachukua sim kumuuliza alipoenda kulala,hapokei sim,namtext ananijibu "Amesafiri kutoka mkoani km 720 halafu alale mwenyewe,wewe mwanamke hufai na huna huruma"

Wanaume bwana mungu anawaona

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama ulitaka muonane bila kuja, siku hizi kuna whatsapq video call, Imo nk mgeonana kuliko aje halafu umpeleke guest

Katu mwenyew sikubari!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Story mnapiga hata kwa simu tu, hiyo meeting ungetoa Zigo tu.
 
Back
Top Bottom