tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,863
- 19,626
Jamani si anavumilia tu siku zinazokuja huenda zikawa nzuri,haraka ya nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani ifikie hatua nasafiri 720km tunakuwa hatujaliongelea suala la kulala pamoja kweli au mgegedano?Mmefahamiana na mwanaume kwenye mitandao ya kijamii,mnaanza kuchati mnazoeana
Siku anakuomba aje kukusalimia unakokaa,unamwambia hamna shida njoo
Anapanga siku anakuja,unampokea,unamkaribisha nyumbani kwako
Unampikia,anakula anashiba mnapiga stories
Inafika usiku unaenda guest kumchukulia chumba cha kulala ili apumzike ili kesho mzidi kupiga stori na kufahamiana zaidi anakataa
Anakulazimisha mlale naye chumbani kwako,unakataa unampa sababu ,kwa kuwa ni mara ya kwanza kukutana uso kwa uso nakuomba ukalale guest kesho tutaongea zaidi ,bado anakataa anakulazimisha mlale chumbani kwako
Basi unaona isiwe shida halafu ni mgeni unamuachia chumba chako alale ,naenda kwa rafiki yangu wa kike nikalale anakataa
Naonyesha msimamo anuna na kuzira na kuondoka usiku huo,namuacha anaenda,nafunga mlango naingia chumbani kwangu nalala,ila nachukua sim kumuuliza alipoenda kulala,hapokei sim,namtext ananijibu "Amesafiri kutoka mkoani km 720 halafu alale mwenyewe,wewe mwanamke hufai na huna huruma"
Wanaume bwana mungu anawaona
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahahaha. Yaani mnatunyasanyasa sanaaaaa
😀😀😀😀😀😀😀😀 pole mdada,yamekukuta nini??? huyo atakuwa mwanaume wa mkoani tu..wachukulie jinsi walivyoMmefahamiana na mwanaume kwenye mitandao ya kijamii,mnaanza kuchati mnazoeana
Siku anakuomba aje kukusalimia unakokaa,unamwambia hamna shida njoo
Anapanga siku anakuja,unampokea,unamkaribisha nyumbani kwako
Unampikia,anakula anashiba mnapiga stories
Inafika usiku unaenda guest kumchukulia chumba cha kulala ili apumzike ili kesho mzidi kupiga stori na kufahamiana zaidi anakataa
Anakulazimisha mlale naye chumbani kwako,unakataa unampa sababu ,kwa kuwa ni mara ya kwanza kukutana uso kwa uso nakuomba ukalale guest kesho tutaongea zaidi ,bado anakataa anakulazimisha mlale chumbani kwako
Basi unaona isiwe shida halafu ni mgeni unamuachia chumba chako alale ,naenda kwa rafiki yangu wa kike nikalale anakataa
Naonyesha msimamo anuna na kuzira na kuondoka usiku huo,namuacha anaenda,nafunga mlango naingia chumbani kwangu nalala,ila nachukua sim kumuuliza alipoenda kulala,hapokei sim,namtext ananijibu "Amesafiri kutoka mkoani km 720 halafu alale mwenyewe,wewe mwanamke hufai na huna huruma"
Wanaume bwana mungu anawaona
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamani... Nimekunyanyasa saa ngapiHahahahahaha. Yaani mnatunyasanyasa sanaaaaa
Watu wa Jf ukifika mda wa kulala nitakuchukulia gest
Nimewahi shoboka mara mojaKisa avatar yangu mbaya!Ukitokewa na mwenye avatar ya uhandsome unamshobokea kwa kiwango cha lami na kusahau kabisa kuwa una chura ambayo huwa unaitukuza!![emoji1][emoji1][emoji1]
Guest ntatafuta mwenyewweWatu wa Jf ukifika mda wa kulala nitakuchukulia gest
Ahsanteee
Haya mkuu
Yanafurahisha yajayo
Mungu anawaonaaaaaaa😂😂😂😂😂
Yanafurahisha yajayo
Nimewahi shoboka mara moja
Haipendezi mkutane face to face kwa Mara ya kwanza na kutoa papuchi,cha msingi ni kuvumiliana kwanza,halafu muda ukifika utapewa bila shida,siku hiyo hiyo unafika unataka papuchi mmmmh haiwezekani!!!Yaani ifikie hatua nasafiri 720km tunakuwa hatujaliongelea suala la kulala pamoja kweli au mgegedano?
Hata mm nisingefurahi kabisa. Labda iwe kwa sababu zingine tu.
Sasa mtakuwa mlikuwa mnawasiliana kibiashara au kisiasa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Shida sio pesa,shida ni mapenziNadhani hakutanguliza pesa mbele
Wanaume wa mikoani hawajui mambo ya Dar
Hapo angetoa wekundu wa 5 tu mngelala wote na angegeda
nop..kushoboka sio kuchezewa trakoooPole rafiki!Walifanikiwa kuchezea chura?[emoji1][emoji1][emoji1]