De Facto List
JF-Expert Member
- Dec 16, 2018
- 324
- 1,186
Mtu anaweka neno 'Mungu' kwenye mada iliyojaa vitunguu swaumu, na yeye eti ana ndoto ya kuolewa..rubbish!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hivi wewe Na mshana Ndo Basi tena Au?Akija jf lazima akuandikie uzi akupondeee mashetaniii tu nyie wanaume mxeeeeew
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulifikiri anakuja kukuchekea tu?Mmefahamiana na mwanaume kwenye mitandao ya kijamii,mnaanza kuchati mnazoeana
Siku anakuomba aje kukusalimia unakokaa,unamwambia hamna shida njoo
Anapanga siku anakuja,unampokea,unamkaribisha nyumbani kwako
Unampikia,anakula anashiba mnapiga stories
Inafika usiku unaenda guest kumchukulia chumba cha kulala ili apumzike ili kesho mzidi kupiga stori na kufahamiana zaidi anakataa
Anakulazimisha mlale naye chumbani kwako,unakataa unampa sababu ,kwa kuwa ni mara ya kwanza kukutana uso kwa uso nakuomba ukalale guest kesho tutaongea zaidi ,bado anakataa anakulazimisha mlale chumbani kwako
Basi unaona isiwe shida halafu ni mgeni unamuachia chumba chako alale ,naenda kwa rafiki yangu wa kike nikalale anakataa
Naonyesha msimamo anuna na kuzira na kuondoka usiku huo,namuacha anaenda,nafunga mlango naingia chumbani kwangu nalala,ila nachukua sim kumuuliza alipoenda kulala,hapokei sim,namtext ananijibu "Amesafiri kutoka mkoani km 720 halafu alale mwenyewe,wewe mwanamke hufai na huna huruma"
Wanaume bwana mungu anawaona
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmefahamiana na mwanaume kwenye mitandao ya kijamii,mnaanza kuchati mnazoeana

Umeona eeh!!Akija jf lazima akuandikie uzi akupondeee mashetaniii tu nyie wanaume mxeeeeew
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu wewe umeolewa?Mtu anaweka neno 'Mungu' kwenye mada iliyojaa vitunguu swaumu, na yeye eti ana ndoto ya kuolewa..rubbish!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaha hahah uje Mbez beach kupiga story kweli?
Mmmmh! Hapo ndipo mnapokosea mkidhani mpo sawaHuyo mwanaume mwenzangu nampa 100% kwa kuonyesha uanaume wa kweli
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo hafai aisee anataka kula,kushiba na kunawa moja kwa moja hawezi kula milele.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuweni na huruma hivyo... km 700 sio mchezoHahahahaha. Ameshajikoki ale papa halafu unamwambia habari gani???[emoji23][emoji23][emoji23]
Hao ndiyo wanaume bhana.
Hahahaha! Day one inawezekana bwnaHahahahaha hahah uje Mbez beach kupiga story kweli?
Malaya? Kwani humu kuna malaya au unasafiri km zote hizo utokako hakuna malaya? ama sijaelewa mkuu?Wew ukiwa unajichelewesha kwa kila malaya, utachunwa hadi uzeeke.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tangu tufahamiane hajawahi kunipa hata senti na wala sijawahi muomba,kaniomba kaja mwenyewe ,nimetumia gharama zangu kumhudumia,naenda kumchukulia chumba kwa gharama zangu anakataa,mmmmh hata kamaMmmh!!! Wew nae sema hukutaka kuliwa, ulitaka umchune tu kaka wa watu,
Mimi namuunga mkono kafanya sahihi kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app