Wanaume muda mwingine wanaboa sana

Ameeen. Nafurah kukuona kiongozi .

Sent using Jamii Forums mobile app
Naam mkuu, mimi pia nimefurahi.

Naona siku hizi vijana wa mjini wamebuni neno jipya la msimu linalobamba kwa ''Injia somaaaaa hiyoooooo"

Kweli haya ni maendeleo ya uvumbuzi kabisa wa viwanda vya maneno[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Km 720 halaf kaondoka halaa? Ila kiukwel hata mm mwanaume demu katoka huko mkoani tumejuana kwenye social network kiukwel hatolala ndani kwangu kirahisi hvyo

sent using Jamii Forums mobile app
 
sio huyu aloandika huu uzi kweli

?Alichonifanyia bi dada niliyekutana naye social network ulikuwa unyama - JamiiForums

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama mshikaji na kibegi chake, katoka Mbeya kutembea Dar. Alijua ataonewa huruma, mademu na ninyi acheni hizo jamani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tofautisheni kati ya wanaume na wavulana tafadhali......ila huyo ndo tafsiri halisi ya sisi mwanaume.
.
.
Siku yako inakuja waonee hao hao wazembe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
 
Mimi hawanipati Ng'oo!!
Mwanaume wa mtandaoni sitaki acha nibangaize na wa mtaani hata mwaka mzima anavumilia.
Wa mtandaoni kukutana tuu kujuana na papuchi anataka ...! Akishakuwa wa mtandaoni Mimi hanifai sina haja ya kujudje mkuu.
mmmHao wa mtaani si ndio wa mtandaoni sehemu zingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…