Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Okay Cute B, kwema lakini?Hapana, Mimi huwa sisemi uongo.
Hawa ndo wanafanya mvua isinyeshe, kama alikuwa kulala nae kwanini amsumbue mkaka wa watu,Kwani, samahani. Una umri gani? Kwa uelewa wangu...hata mtoto wa 17 years ukimuuliza anaweza kukwambia. Mlianzia sijui wapiwapi, ukampa namba, ukamwelekeza ulipo, ukampikia ashibe vizuri alafu unakataa kulala nae tu?
Kwema mkuuOkay Cute B, kwema lakini?
Vizuri kama Uko poa Mkuu. Nina Jambo naomba nikushirikishe mkuu. Ningependa kama ungeniruhusu nije PM.Kwema mkuu
Sawa, njoo nishirikishe.Vizuri kama Uko poa Mkuu. Nina Jambo naomba nikushirikishe mkuu. Ningependa kama ungeniruhusu nije PM.
Kilomita 700 alaf nilale guest? Labda twende wote tukalale uko guest.Sababu
Km 720 then tupige story aiseeee akati nilitamani gari lipae nije kuipiga mbunye mpyaaaMmefahamiana na mwanaume kwenye mitandao ya kijamii,mnaanza kuchati mnazoeana
Siku anakuomba aje kukusalimia unakokaa,unamwambia hamna shida njoo
Anapanga siku anakuja,unampokea,unamkaribisha nyumbani kwako
Unampikia,anakula anashiba mnapiga stories
Inafika usiku unaenda guest kumchukulia chumba cha kulala ili apumzike ili kesho mzidi kupiga stori na kufahamiana zaidi anakataa
Anakulazimisha mlale naye chumbani kwako,unakataa unampa sababu ,kwa kuwa ni mara ya kwanza kukutana uso kwa uso nakuomba ukalale guest kesho tutaongea zaidi ,bado anakataa anakulazimisha mlale chumbani kwako
Basi unaona isiwe shida halafu ni mgeni unamuachia chumba chako alale ,naenda kwa rafiki yangu wa kike nikalale anakataa
Naonyesha msimamo anuna na kuzira na kuondoka usiku huo,namuacha anaenda,nafunga mlango naingia chumbani kwangu nalala,ila nachukua sim kumuuliza alipoenda kulala,hapokei sim,namtext ananijibu "Amesafiri kutoka mkoani km 720 halafu alale mwenyewe,wewe mwanamke hufai na huna huruma"
Wanaume bwana mungu anawaona
Sent using Jamii Forums mobile app
Kazi mnayo vijana
Bora mimi nilisafiri km 560 mtwara to dar, then dar to mbeya km 829. Namshukuru Mungu tulilala pamoja.Mmefahamiana na mwanaume kwenye mitandao ya kijamii,mnaanza kuchati mnazoeana
Siku anakuomba aje kukusalimia unakokaa,unamwambia hamna shida njoo
Anapanga siku anakuja,unampokea,unamkaribisha nyumbani kwako
Unampikia,anakula anashiba mnapiga stories
Inafika usiku unaenda guest kumchukulia chumba cha kulala ili apumzike ili kesho mzidi kupiga stori na kufahamiana zaidi anakataa
Anakulazimisha mlale naye chumbani kwako,unakataa unampa sababu ,kwa kuwa ni mara ya kwanza kukutana uso kwa uso nakuomba ukalale guest kesho tutaongea zaidi ,bado anakataa anakulazimisha mlale chumbani kwako
Basi unaona isiwe shida halafu ni mgeni unamuachia chumba chako alale ,naenda kwa rafiki yangu wa kike nikalale anakataa
Naonyesha msimamo anuna na kuzira na kuondoka usiku huo,namuacha anaenda,nafunga mlango naingia chumbani kwangu nalala,ila nachukua sim kumuuliza alipoenda kulala,hapokei sim,namtext ananijibu "Amesafiri kutoka mkoani km 720 halafu alale mwenyewe,wewe mwanamke hufai na huna huruma"
Wanaume bwana mungu anawaona
Sent using Jamii Forums mobile app
Kha! Yaani watu wanasafiri km zote hizo kufuata mbususuMmefahamiana na mwanaume kwenye mitandao ya kijamii,mnaanza kuchati mnazoeana
Siku anakuomba aje kukusalimia unakokaa,unamwambia hamna shida njoo
Anapanga siku anakuja,unampokea,unamkaribisha nyumbani kwako
Unampikia,anakula anashiba mnapiga stories
Inafika usiku unaenda guest kumchukulia chumba cha kulala ili apumzike ili kesho mzidi kupiga stori na kufahamiana zaidi anakataa
Anakulazimisha mlale naye chumbani kwako,unakataa unampa sababu ,kwa kuwa ni mara ya kwanza kukutana uso kwa uso nakuomba ukalale guest kesho tutaongea zaidi ,bado anakataa anakulazimisha mlale chumbani kwako
Basi unaona isiwe shida halafu ni mgeni unamuachia chumba chako alale ,naenda kwa rafiki yangu wa kike nikalale anakataa
Naonyesha msimamo anuna na kuzira na kuondoka usiku huo,namuacha anaenda,nafunga mlango naingia chumbani kwangu nalala,ila nachukua sim kumuuliza alipoenda kulala,hapokei sim,namtext ananijibu "Amesafiri kutoka mkoani km 720 halafu alale mwenyewe,wewe mwanamke hufai na huna huruma"
Wanaume bwana mungu anawaona
Sent using Jamii Forums mobile app
We ungeweza?Mmefahamiana na mwanaume kwenye mitandao ya kijamii,mnaanza kuchati mnazoeana