Wanaume muda mwingine wanaboa sana

Kwani, samahani. Una umri gani? Kwa uelewa wangu...hata mtoto wa 17 years ukimuuliza anaweza kukwambia. Mlianzia sijui wapiwapi, ukampa namba, ukamwelekeza ulipo, ukampikia ashibe vizuri alafu unakataa kulala nae tu?
Hawa ndo wanafanya mvua isinyeshe, kama alikuwa kulala nae kwanini amsumbue mkaka wa watu,
 
Km 720 then tupige story aiseeee akati nilitamani gari lipae nije kuipiga mbunye mpyaaa
 
Sasa wewe ulipomkaribisha kwako tena chumbani kabisa wee unafikiri aliookuja kwa akili yake alikuwa anafikiria nini kama sio kumaliza
 
Mwanaume wa kusafiri 720km aje kupiga story labda yupo Vatican.
 
Bora mimi nilisafiri km 560 mtwara to dar, then dar to mbeya km 829. Namshukuru Mungu tulilala pamoja.
 
Kha! Yaani watu wanasafiri km zote hizo kufuata mbususu
 
We ungeweza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…