Wanaume muda mwingine wanaboa sana

Ulifikiri anakuja kukuchekea tu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duuuu, wew wrong selection.

Kuwa makini dada angu, kwan hata urafiki huwa una sababu,

Unatakiwa kujua rafik yako anachukuliaje swala la mapenz, wazinzi ndo mambo yao wanamatatizo sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani, samahani. Una umri gani? Kwa uelewa wangu...hata mtoto wa 17 years ukimuuliza anaweza kukwambia. Mlianzia sijui wapiwapi, ukampa namba, ukamwelekeza ulipo, ukampikia ashibe vizuri alafu unakataa kulala nae tu?
 
Mmmh!!! Wew nae sema hukutaka kuliwa, ulitaka umchune tu kaka wa watu,
Mimi namuunga mkono kafanya sahihi kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tangu tufahamiane hajawahi kunipa hata senti na wala sijawahi muomba,kaniomba kaja mwenyewe ,nimetumia gharama zangu kumhudumia,naenda kumchukulia chumba kwa gharama zangu anakataa,mmmmh hata kama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…