Wanaume muda mwingine wanaboa sana


Jamani papara si nzuri kabisa, simba mwenda pole ndo mla nyama. Mimi ilishanikuta mdada alikosea namba nikaipokea vizuri tu nikamsalimia halafu sikujua kama tutafika tulipofika. Alikuwa yupo down sana! Nikajisemea tu dada yangu mbona unaonekana huna raha pole kwa chochote kinachokusibu nikategemea tusi halafu akate simu, akasema haaaa kaka afadhali hata wewe umenijali yaani mtihani hapa college unanitoa stimu balaa. Nikamwambia unaonekana umekamia sana unahitaji kupumzika kidogo nikupeleke kigamboni nini akacheeeka! akanielekeza yupo wapi nikamwambia ntakupitia hapo nikitoka job. Nikakata simu wala sikuiweka kichwani. Zikapita 3 days akanitext kaka nifariji tena mtihani mgumu khaaa nikamrukia hewani nikambembeleza weee. Basi ikawa jioni tunapigiana simu. Wala sikutaka kumtafuta mwezi ukakatika tukaongea kwenye simu tuu. Baada ya hapo anaomba anione. Tulipoonana napo alikuwa amepooza lkn dah mtoto wa haja yaani nooma. Nikasema sitongozi wala nini maana alikuwa anaonekana mtoto mzuri sana na kama mnavyojua nyumba nzuri lazima iwe na mpangaji. Siku ya tatu sms za mapenzi zinaanza mpenzi hujambo mie duuuh Yule shori kaingia mtegoni the rest is history 3kids 13yrs ya ndoa hahaha. Ukiwa patient utafaidi sana. Mwanamke anayekujali always anakuwa careful akikupa Leo kesho utamtangaza dame very cheap!
 
Wewe hutoi ng'oo hadi akuzungushe kwanza kwenye maduka yote ya kitimoto hapa Dar![emoji1][emoji1][emoji1]
[emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Chizi weee. Halafu ndo natoa? audacious eti wewe ulinizungusha wapi na wapi?? Kutoa ni mapenzi. Halafu kuna wengine urafiki unafaa kuliko mapenzi.
Umetaja kitimoto umenifanya nimkumbuke baby daddy wangu Nyani Ngabu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyani ngabu ulimzungusha kwanza kwenye maduka yote ya kitimoto cha Dar eeeeehhhh!![emoji1][emoji1][emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…